Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wamachinga wameondolewa Kihuni.Tena wamejitahidi sana maana hili siku zote nilikua naona ni bomu aliloliacha mwenda zake any tyme lingelipuka hawa kina Pole pole ndo wanataka kuharibu kazi nzuri iliyofanyika kwa kumuona kila mtu mjinga isipokua yeye. Ashughulikiwe kama mwenzake gwajima. Ma elfu walivunjiwa nyumba morogoro road sasaivi wamejaa wamachinga hata kupita shida kulikua na maana gani kuvunjia watu nyumba sasa
Akikujibu nitaggSwali la msingi kukaa pembeni ya barabara na kufanya biashara ni kosa au sio kosa?
Watu wenye nyumba pembezoni mwa barabara wamevunjiwa nyumba, kuna wananchi wamechomewa nyumba kwa kuvamia maeneo ya hifadhi...
Kimeumana yaani atakaye nuna anunuune tu.View attachment 1986064
My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa...
Muulize Polepole ana maoni gani juu ya Watu waliovunjiwa nyumba zao Kimara kipindi cha Awamu ya Tano huku wengine wa Mwanza wakiambiwa wasivunjiwe kwa sababu walimpa kura mpuuzi mwenzake Magufuli?View attachment 1986064
My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa...
Unapingana na msimamo wa JPM kuwa wamachinga wasiguswe maana waliipigia kura ccm.Swali la msingi kukaa pembeni ya barabara na kufanya biashara ni kosa au sio kosa?
Watu wenye nyumba pembezoni mwa barabara wamevunjiwa nyumba, kuna wananchi wamechomewa nyumba kwa kuvamia maeneo ya hifadhi...
Huyo ni sukuma gang.Mbona anapiga debe sana, zoezi hili binafsi limemwathiri kiasi Gani, au alikuwa na genge lake la chinga elfu ngapi, wakifanya kazi kwa niaba yake. Afunguke asizunguke zunguke na kurukaruka, kwani kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake.
DuuuuM
nafiq mkubwa huyu anapaswa kuunganishwa na akina Sabaya.
Kwani hamf ni nani ktk nchi hii kwa sasa??View attachment 1986064
My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa...