Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

Tanzania hatuna ukanda wala ukabila, sasa yeye ni miongoni mwa wanaofaa kuhoji uraia wake. Tuhakikishe kama alizonazo ni tabia za kitanzania
Dawa yake ni kumwambia ahesabu moja mpaka tano tutamjua tu uraia wake
 
2025 karibu sana akagombee uraisi na moja ya ahadi zake iwe kuwaacha wamachinga wajitanue watakavyo
 
Nchi hii ina watu wengi mafala sana, kila kitu siasa za hovyo.
Wamachinga ni kero na ni usumbufu sana mjini.
Barabara zimejengwa kwa gharama kubwa lakini zimegeuka maduka ya wamachinga.
Miji michafu.
Wenye kulipa kodi za nyumba na za serikali wamezibwa na wamachinga.
Watu waache siasa, wamachinga waende sehemu walizotengewa miji iwe safi.
Laa sivyo na majambazi waachwe wajiporee nao wanataka kuishi.
 
Si kuwahi kufikiria kwamba Humphrey Polepole ni "mweupe" na mwepesi kisiasa na kiongozi kiss hiki?
Hivi wewe Polepole unajua kutafsiri dhamira ya Mhe.Rais Samia kuliko wateule wake aliowaamini na kuwapa kazi?!
 
Huyu mgonjwa wa VVU kadri annavyosahau kunywa mashudu ndiyo anavyoharibikiwa kichwani.

Polepole atambue kuwa Serikali ya Rais SSH iko makini. Tatizo la machinga kufanya biashara kwenye maeneo holela lilizalishwa na wao. Samia anawatoa na kuwapeleka maeneo RASMI. HAKULUPUKI kama alivyokuwa anafanya Mwendazake
 
Tena wewe pole pole ndo mlisababisha uvunjifu wa hii sheria ya road reserve kwa kuimba haya mapambio enzi za mwenda zake cheap popularity acha ujinga. Mnavuruga nchi kwa kigezo cha kupendwa mnageuza nchi kama dampo
Leo shaka na CCM nao wamelaani.
 
Si kuwahi kufikiria kwamba Humphrey Polepole ni "mweupe" na mwepesi kisiasa na kiongozi kiss hiki?
Hivi wewe Polepole unajua kutafsiri dhamira ya Mhe.Rais Samia kuliko wateule wake aliowaamini na kuwapa kazi?!
Mkuu Leo shaka na CCM wameungana na polepole kulaani namna wamachinga wanavyoondolewa. Hapo vipi?
 
Mama samia mfute huyu ubunge akalime maparáchich
 
Armchair politics at it's best. How come he's runnin' his mouth today? Where was he all those years, if he thinks he's part of the solution?
 
Naunga mkono hoja hii
 

Wanaotaka sheria zifuatwe hii leo ndio wameingia madarakani kwa kuvunja sheria na uhayawani wa wazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…