Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

Kama raisi hahusiki kuamrisha wamachinga waondolewe kwa njia zozote kutoka katikati ya miji angekuwa ameshajitokeza kusimamisha zoezi lote na kuwajibisha watu.

Mbona wamachinga walipokuwa wakifukuzwa kutoka manispaa ya Morogoro alisitisha zoezi husika na mkuu wa wilaya na mkurugenzi walitenguliwa?

Mkuu wa wilaya ya Temeke aliingilia kati na kumkemea mkurugenzi wake lakini mkuu wa mkoa yeye alikuwa anafanya yeye mwenye kusisitiza kuondolewa.

Mkuu wa mkoa wa DSM na Mwanza hawakutumia busara katika utekelezaji wa zoezi la kuhamisha machinga.
 
Chakubanga analaumu nini mbona yeye aliwaambukiza.wadada wengi ukimwi Kwa makusudi akiwaahidi ubunge wa vitu maalum?
 
Nakuunga mkono

Well said
 
Ni uonevu KILA mtza anayo haki ya kuwepo mahali popote apatakapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…