Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Huyu mtu sina Imani naye kabisa. Kann hapiganii reforms?Polepole yeye reforms za uchaguzi hataki kusikia yeye anadili na CCM na wahuni wake tu.
Hehehehe pole mkuuHuyo Polepole atasikilizwa na nyumbu wa Chadema tu. Sie tuna msiba wa Spika Ndugai!!!😭😭😭😭
Kama anasikilizwa na CHADEMA tu, kwanini wamezima mitandao?Huyo Polepole atasikilizwa na nyumbu wa Chadema tu. Sie tuna msiba wa Spika Ndugai!!!😭😭😭😭
Ahsante! Yaani Konyagi imekuwa kama OMUBILIZI!Hehehehe pole mkuu
Nimehangaika sana leo kufungua YouTube ila bila bila, kumbe shida ndo hizo episodes!Bila VPN utoboi
Una uhakika wamezima mitandao? Mbona mimi na wewe tunawasiliana na mitandao hiyo hiyo?Kama anasikilizwa na CHADEMA tu, kwanini wamezima mitandao?
Pole sana. Naona mmeamua maisha yetu yawe kilio kila siku kana kwamba sisi sio watanzania.Ahsante! Yaani Konyagi imekuwa kama OMUBILIZI!
Kweli wewe kichwa maji, so hujaelewa kabisa 😂😂😂😂Una uhakika wamezima mitandao? Mbona mimi na wewe tunawasiliana na mitandao hiyo hiyo?
Huyo wa kwenu asipokula kitanzi, nahamia Burundi maana nimepata taarifa Lucifer hamtaki na hata wahudumu wa Jehanamu hawamtaki pia!!!Pole sana. Naona mmeamua maisha yetu yawe kilio kila siku kana kwamba sisi sio watanzania.
Mwamba wetu anaozea kwenye nondo na maumivu ya risasi ila Mungu atamtetea sana.
Poleni sana kwa msiba
Mitandao maana yake nini? Na kama mimi ni kichwa maji weka vyeti vyako na basha wako Heche vikusapoti na mimi niweke vya kwangu tuone nani kichwa maji! Vya kwangu ninavyo soft copy. Nakusubiri wewe tu!Kweli wewe kichwa maji, so hujaelewa kabisa 😂😂😂😂
Si uende ukalale msibani mkuu.Tuna msiba jamani
🚶🚶🚶🚶