Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 4,230
- 5,734
Kifo ni kifo tuuTuna msiba jamani
🚶🚶🚶🚶
Kifo ni kifo tuuTuna msiba jamani
🚶🚶🚶🚶
Baadhi ya channel, eg YouTubeUna uhakika wamezima mitandao? Mbona mimi na wewe tunawasiliana na mitandao hiyo hiyo?
Kifo ni kifo tu, acheni kuzua taharuki mtandaoniHuyo Polepole atasikilizwa na nyumbu wa Chadema tu. Sie tuna msiba wa Spika Ndugai!!!😭😭😭😭
Hapo upo sahihi. Yule mjinga eti wamezima mitandao wakati anawasiliana kwa kutumia mitandao! Ahahahahaha!!Baadhi ya channel, eg YouTube
Na kila mja ana siku na saa yake ya kurudi kwa Muumba wake! 🙏🙏🙏🙏Kifo ni kifo tu, acheni kuzua taharuki mtandaoni
Akili yako ni ya mtoto wa shule kweli, tena chekechea ya Kayumba.Una uhakika wamezima mitandao? Mbona mimi na wewe tunawasiliana na mitandao hiyo hiyo?
Mtetezi wetu yu haiHuyo wa kwenu asipokula kitanzi, nahamia Burundi maana nimepata taarifa Lucifer hamtaki na hata wahudumu wa Jehanamu hawamtaki pia!!!
Wewe unayechukua muda na MB zako kumjibu mtu mwenye akili ya chekechea una akili za aina gani? Sio chini ya mwenye akili ya chekechea kweli? Ahahahahaha!!Akili yako ni ya mtoto wa shule kweli, tena chekechea ya Kayumba.
Yesu Mtetezi wa Wakristu aliwekwa Msalabni dadeeeki! Na huyo wa kwenu kama ni mtetezi wenu wa kweli basi LAZIMA ale kitanzi!Mtetezi wetu yu hai
Hiyo wangeifungia tu jumla haina faida.Paka instagram pia imepigwa ban dah
Msiba wa Ndungai na haya tunapitia kama Taifa lipi lianze? Treni imeshachanganya tayariMwambie apumzike kwanza Taifa limepata msiba mzito..Msiba ukiisha tunamkaribisha kuendeleza alipoishia.
tuwe tunathamin na misiba kwan nas ndo tuendako..haya anayoyasema hayatatuliwi leo..Msiba wa Ndungai na haya tunapitia kama Taifa lipi lianze? Treni imeshachanganya tayari
Kwaiyo mambo mengi yasimame kisa kuna msiba?tuwe tunathamin na misiba kwan nas ndo tuendako..haya anayoyasema hayatatuliwi leo..
Msiba wenyewe siku chache haupungukiwi chochote..Mwambie Polepole apunguze jazba tunamsiba.Kwaiyo mambo mengi yasimame kisa kuna msiba?