Humphrey Polepole amjibu Rostam Aziz na kuongelea kuvuliwa kwake Ubalozi

Washapiga pini... tuwashe VPN
Nahangaika na youtube nyumbani niangalie connent fulani nashangaa inagoma, kumbe sababu ni polepole?
Kama ni kweli basi hii nchi ni ya ajabu sana
 
Ndio hivyo mzee... ukishasikia kuna ratiba na komredi kuongea.... Youtube inapotea
 
Nahangaika na youtube nyumbani niangalie connent fulani nashangaa inagoma, kumbe sababu ni polepole?
Kama ni kweli basi hii nchi ni ya ajabu sana
Mmezoea umbea tu bora mmedhibitiwa. Ingekuwa press conference ya mambo ya maana kama kilimo na umwagiliaji, mifugo na uvuvi msingesumbuka hivi. Umbea umbea tu na uchawi. Pigweni pini huko.
 
Wala sina habari na siasa zenu chafu, umekariri kila mtu anaangalia huo upuuzi
YouTube ni kisima cha maarifa, naitumia kufundishia wanangu na mimi mwenyewe naitumia kuboresha maarifa na kazi zangu zinazonipa kipato!
Next time uelewe mtu akikwambia haendi kusi haimaanishi kuwa anaelekea kaskazi.
 
Hamna bana mzoea umbea tu mitandaoni serikali shikilieni hapo hapo yadhibitini. Hatuwezi kuendelea kuishi kwenye taifa la wambea. Kama elimu kwa watoto wako wapeleke shule.
 
Kwa hiyo ukipeleka mtoto shule hahitaji tena Kupata maarifa!!
Asante kwa kunielimisha
 
Back
Top Bottom