Humphrey Polepole amjibu Rostam Aziz na kuongelea kuvuliwa kwake Ubalozi

Huu sasa upumbavu, yani akiongea Polepole Facebook inazimwa sasa uoga gani huu serikali nzima?
 
Akili yako ni ya mtoto wa shule kweli, tena chekechea ya Kayumba.
Wewe unayechukua muda na MB zako kumjibu mtu mwenye akili ya chekechea una akili za aina gani? Sio chini ya mwenye akili ya chekechea kweli? Ahahahahaha!!
 
Kuna mtu mmoja alikuwa waziri...nimemsikia ametoa kauli kwamba polisi wadhibiti wachochezi wa mitandao...kama amejisahau tunamkumbusha kuwa tangu tar 3 August hatuna mbunge Wala waziri...apumzishe domo lake na aweke kalio lake kwa kiti...awaachie maRC na maDC hizo kazi. Naona anajitoa ufahamu huko aliko...kwasasa yeye si chochote mpaka November km atapewa tena ๐Ÿค”. Awachane na kazi za wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ