Humphrey Polepole anatamba kwamba analindwa, cha ajabu anaongea akiwa kajificha

Unaelewa maana ya kujificha wewe?

Angekuwa kajificha kwenye press zake tungekuwa tunasikia tu sauti na background ya chumba press inapofanyika au yeye avae balaclava wakati anaongea , ila ipo tofauti anapoongea tunamuona sasa huko ndio useme ni kujificha?

Wanaojificha ni wale vibaka wa magereza wanaokuja na Lissu mahakamani kila siku kule wakiwa wamevaa balaclava.

Haya kasaini uchukue posho yako Mchengerwa ameshatoa ya kupoozea weekend.
sddefault.jpg
 
Swali kubwa ni kuwa atajificha hadi lini
Hata Yesu alikuwa analindwa lakini aligoma kujirusha kutoka juu ya kilima, imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako. Ndio maana watumishi wa Mungu wanalindwa na bodyguards na hushangai. Muachie akae huko huko mafichoni kama serikali ina mkono mrefu itampata
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?

Kwa nini unataka aje Serena. Kwani ujumbe hamuupati? Nyie nendeni huko Serena mkamjibu kama hayo majibu mnayo.
 
Ni kama nimeshtuka vile! Hachezi kale kamchezo ka Mrema kweli! Ujue Mrema hakuwa mpinzani, aliwekwa tu kuwachanganya wazungu.
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Una shida ya nyama? Unataka aonekane Ili umle nyama, una shida ya kula nyama yake?
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kumbe hujui maana ya "kulindwa sana" mkamateni basi kama halindwi sana
 
Unaelewa maana ya kujificha wewe?

Angekuwa kajificha kwenye press zake tungekuwa tunasikia tu sauti na background ya chumba press inapofanyika halafu yeye avae balaclava , ila ipo tofauti anapoongea tunamuona sasa huko ndio useme ni kujificha?

Wanaojificha ni wale vibaka wa magereza wanaokuja na Lissu mahakamani kila siku kule wakiwa wamevaa balaclava.

Haya kasaini uchukue posho yako Mchengerwa ameshatoa ya kupoozea weekend.
View attachment 3437866
Mahakama ndio ilitakiwa watoe tamko kuhusu hao jamaa kuvaa kininja eneo lao na si magereza sema kwa kwa kuwa tumedumaa hatujui nani anatakiwa ajibu nini na kwa wakati gani..
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Unamtaka ukamfanye nini? Chukua content achana na fanani
 
Ila siku Polepole wakimbananisha msije kupiga mayowe humu tuendelee kumsifia hivihivi
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kweli dada yangu wewe ni kilaza hata mume wako aliyekuchumbia kwa kweli ana hasara.

Kwani haujua kuwa hata nyumba yako ikiwa na fensi kubwa ya umeme nao ni ulinzi tosha ilhali huo ulinzi unauongea katika muktadha gani.

Kwa hiyo kujiachia serena ndio unahisi ni ulinzi tosha ?
Kuna watu wanaulinzi wa binadamu wenye mabunduki, ulinzi wa Mungu na wengine ulinzi wa vigagura inategemea ni level gani unayoizungumzia.

Mbona wewe unalindwa na mumeo kwani nao sio ulinzi ?
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Sasa na nyie si mnavyombo mkamateni
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Wewe uko huru, mbona hujaenda ITV au Msimbazi? Umekuja humu. Kua naulinzi, si ndiyo kutokuzurika?
 
Back
Top Bottom