Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Hata wewe ukilindwa sana inabidi uchukue tahadhari mwenyewe wakati mwingine. Wewe unajua hali halisi ya nchi hii, hao viongozi wako hawapendi kukosolewa, unataka aende Serena, Uwanja wa Taifa au Mwembe yanga ili akamatwe na ninyi machawa mfurahie? Inaonekana wewe una shida kwenye ufikiri wako, Waambie hao wenzake wasiteke watu maana nchi hii ukisema kitu kidogo, ukosoaji mdogo tu unalipiziwa......Unachukiwa na hao viongozi wa ovyo wakiwatumia ninyi machawa wao. Think right!Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?