Humphrey Polepole anatamba kwamba analindwa, cha ajabu anaongea akiwa kajificha

Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?

Mbona inatakiwa kujadili hoja zake. Alipo wewe panakupaje shida? Kama yupo room na mamah yako je?
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Neno Moja linaweza kua na tafsiri nyingi Kwa Mimi nimemuelewa kua analindwa Kwa maana ya kupewa taarifa ya Kila mpango mchafu unaopangwa dhidi yake
 
Alishauawa kama Mzee kibao na maiti yake iliwekwa kwenye tindikali na yule aliyekua nkuu wa nkoa
Weweee jaman jaman mbona hii habari imenipita na sijaona msiba
Aisee inasikitisha sana mara ya mwisho nilisikia kakamatwa mkewe analia
 
Mahakama ndio ilitakiwa watoe tamko kuhusu hao jamaa kuvaa kininja eneo lao na si magereza sema kwa kwa kuwa tumedumaa hatujui nani anatakiwa ajibu nini na kwa wakati gani..
Na mahakama imetunzwa kwenye pochi ya mama Abdul nani atapaza sauti kama sio wapenda haki ambao ni raia wa kawaida?
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kwa sababu naye ni mwana nzengo anajua nini kitamtokea kama kilivyokuwa kikiwatokea wengine !
😳🙄🤷🏿‍♂️ !
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kwani Bi.Chura hajifichi? Na si analindwa?
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
KULidwa ni jambo moja lakini kujali isalama.wako binafsi yaani Self Defence ni jambo muhimu zaidi.
 
chiembe Ungekua umepitia JKT kama sisi kakazako ungekua unajua kitu inaitwa 'personal camouflage and concealment '
Kukosa kwako hii elim na kutotumia ubongo wako ipasavyo inakuweka kwenye kundi moja na kina Lucas Mwashambwa.
 
Back
Top Bottom