Hata Yesu alikuwa analindwa lakini aligoma kujirusha kutoka juu ya kilima, imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako. Ndio maana watumishi wa Mungu wanalindwa na bodyguards na hushangai. Muachie akae huko huko mafichoni kama serikali ina mkono mrefu itampata
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Una shida ya nyama? Unataka aonekane Ili umle nyama, una shida ya kula nyama yake?Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
https://www.facebook.com/Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kumbe hujui maana ya "kulindwa sana" mkamateni basi kama halindwi sanaMtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Mungu amekupa akili uitumie
Wewe itakuwa hujui matumizi ya akili alizokupa Mungu.
Mahakama ndio ilitakiwa watoe tamko kuhusu hao jamaa kuvaa kininja eneo lao na si magereza sema kwa kwa kuwa tumedumaa hatujui nani anatakiwa ajibu nini na kwa wakati gani..Unaelewa maana ya kujificha wewe?
Angekuwa kajificha kwenye press zake tungekuwa tunasikia tu sauti na background ya chumba press inapofanyika halafu yeye avae balaclava , ila ipo tofauti anapoongea tunamuona sasa huko ndio useme ni kujificha?
Wanaojificha ni wale vibaka wa magereza wanaokuja na Lissu mahakamani kila siku kule wakiwa wamevaa balaclava.
Haya kasaini uchukue posho yako Mchengerwa ameshatoa ya kupoozea weekend.
View attachment 3437866
Unamtaka ukamfanye nini? Chukua content achana na fananiMtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kweli dada yangu wewe ni kilaza hata mume wako aliyekuchumbia kwa kweli ana hasara.Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Sasa na nyie si mnavyombo mkamateniMtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Wewe uko huru, mbona hujaenda ITV au Msimbazi? Umekuja humu. Kua naulinzi, si ndiyo kutokuzurika?Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?