Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Hata wewe ukilindwa sana inabidi uchukue tahadhari mwenyewe wakati mwingine. Wewe unajua hali halisi ya nchi hii, hao viongozi wako hawapendi kukosolewa, unataka aende Serena, Uwanja wa Taifa au Mwembe yanga ili akamatwe na ninyi machawa mfurahie? Inaonekana wewe una shida kwenye ufikiri wako, Waambie hao wenzake wasiteke watu maana nchi hii ukisema kitu kidogo, ukosoaji mdogo tu unalipiziwa......Unachukiwa na hao viongozi wa ovyo wakiwatumia ninyi machawa wao. Think right!Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Unataka ajitokeze ili mumtoe roho?Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Tulia sindano izame wwMtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kinembe kwa comments hizi itakuwa umetambua nafsi yako imekaa kwenye chupi.Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Naunga mkono hojaMtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Hivi ninyi shuleni mlienda kudhururaa?? kwa akili hii yan wewe ni wale wanafunzi mlio kuwa mnachukua vipeke vya ubuyu mnasugua chini then mnawaunguza wenzenu…stupidNaunga mkono hoja
Inawezekanaje mtu anayedai anamtegemea Mungu katika kuhakikisha usalama wake anahama hata makazi yake kwa kuwakimbia wale anaodai wanamuwinda ili wamzuru.
Hao hawawa na ulinzi kama anaodai anao PolepoleWewe jamaa ni mjinga mjinga na mpumbavu. Hivi Mzee Kibao alichukuliwa akiwa mafichoni au kwenye public? Je mdude alichukuliwa na kwenda kuuawa akiwa mafichoni? Pimbi wewe ukiwa na majibu hayo kakojoe ukalale
Achana kabisa na Polepole ile ni level nyingine kabisa:Ww endelea na kipaji chako cha uchawa mlichobalikiwa na mwenzako mmoja anayebubujikwq na màchozi😛olepole na nyie ni Mbingu na ardhi aiseee!!Achana nae kabisa!!Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Wewe ni cummarMtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Anatambua kwamba ulinzi usiutumie vibaya, ukiambiwa unalindwa haimaanishi ndiyo ujiachie tu walinzi nao wana kikomo cha uwezo wao wa kukulinda japo pia analindwa na Mwenyezi Mungu kupitia viumbe vyake.Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Posta ya wapi saa kumi za usiku
Kwani amefanya kosa gani hadi abananishwe?Ila siku Polepole wakimbananisha msije kupiga mayowe humu tuendelee kumsifia hivihivi
Labda huko ndio kulindwa! Ahahahahaha! Kuishi kama tumbili!Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?