Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Neno Moja linaweza kua na tafsiri nyingi Kwa Mimi nimemuelewa kua analindwa Kwa maana ya kupewa taarifa ya Kila mpango mchafu unaopangwa dhidi yakeMtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Hadi atakapoona amekula wali na maharage vya kutosha.Swali kubwa ni kuwa atajificha hadi lini
Weweee jaman jaman mbona hii habari imenipita na sijaona msibaAlishauawa kama Mzee kibao na maiti yake iliwekwa kwenye tindikali na yule aliyekua nkuu wa nkoa
Na mahakama imetunzwa kwenye pochi ya mama Abdul nani atapaza sauti kama sio wapenda haki ambao ni raia wa kawaida?Mahakama ndio ilitakiwa watoe tamko kuhusu hao jamaa kuvaa kininja eneo lao na si magereza sema kwa kwa kuwa tumedumaa hatujui nani anatakiwa ajibu nini na kwa wakati gani..
Aombe uwanja wa wazi akamwage matapishi yake
Kwa sababu naye ni mwana nzengo anajua nini kitamtokea kama kilivyokuwa kikiwatokea wengine !Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Mimi natumia JF
Kwani Bi.Chura hajifichi? Na si analindwa?Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
KULidwa ni jambo moja lakini kujali isalama.wako binafsi yaani Self Defence ni jambo muhimu zaidi.Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kama hajafanya kosa atoke hadharani asiwe anaishi kama digidigiKwani amefanya kosa gani hadi abananishwe?
Yupo Tanzania kwa maelezo yake.Kama hajafanya kosa atoke hadharani asiwe anaishi kama digidigi