Humphrey Polepole anatamba kwamba analindwa, cha ajabu anaongea akiwa kajificha

Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Umemsikia au hujamsikia? Muhimu ujumbe, mamilioni wanaongelea viwanjani hawasikiki na hawasikikizwi.
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Kwahiyo watu waache KUVAA KONDOMU,KWA VILE KUNA vidonge vya ARV??🤔🤔🤔
 
Chama cha kususasusa wamehama kwa Mpina sasa wako kwa Polepole, chama cha majuha wao dish linakoyumbia nao wako huko huko wakati Mwenyekiti wao analalia sakafu
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Ulinzi wa choo ni mkali sana hadi TISS hawajui alipo .....
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
Alitarajiwa afanye hivyo na watu wapumbavu. Watu walio timamu wanamuelewa mbinu yake anayotumia, wanamfurahia na wanaongeza jitihada katika vita ya ukombozi
 
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.

Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
haijalishi yuko wapi, lakini nondo zinakuwa aired globally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…