ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
Na kama habari hii ni ya kweli kaka yake Polepole anasema ana chip mwilini popote watakapomficha patajulikana kwa familia yake na watu wake wa karibu.Sasa hapo wamejichanganya.
Na kama habari hii ni ya kweli kaka yake Polepole anasema ana chip mwilini popote watakapomficha patajulikana kwa familia yake na watu wake wa karibu.Sasa hapo wamejichanganya.
Sio kakayake tuu, ukoo mzima, maana hata dada yake walishawahi kumtingishaHuyu kakaake nae yupo hatarini
Sana, watamkamata awape maelezo. Lakini nafikiri Humphrey Polepole atateswa sana wapate taarifa zote za washirika wake. Damu inatiririka kutoka chumbani na pote alipopita kama walivyomfanya Mdude. Style halisi ya utekaji ya Mafwele, Samia na Abdul.Huyu kakaake nae yupo hatarini
Unacheka, umefurahi siyo. Vipi ungekuwa umetekwa wewe au mtoto wako.Tesha atamukoa😅
MImi pia sitaki kuamini kabisa.Polepole kukosoa kote kule afu yupo hapa nchini
Ntakuwa wa mwisho kuamini hili
Hapa kuna mchezo uko well planned…
Alikuwa mzalendo, wakikosoa wakiwa mbali mnasema wanaongea kwa sababu wapo nje ya nchi, wakija ndani ya nchi mnasema hayupo smart angekuwa mbali.Hakuwa smart kwa kweli,huwezi kufanya ukosoaji wa aina ile na bado ukawa hapa Tz kwa hali ilivyo sasa