Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Kaka wa polepole unaposema mateka ana chip mwilini huoni kama unauza code kwa wakina mafwele? unataka waanze ku-scan mwili mzima waitoe hiyo chip au vipi?

too much information...
Hata na mimi naona jamaa ni kama hajielewi vile, yeyey badala ya kumkimbiza mtu kimyakimya anatoa code, he is not smart kiukweli.
 
Mambo mengine lakini yaani ununue ugomvi na serikali halafu uishi Tanzania na watu hawa watoa roho.

Kibaya zaidi unawasaliana na watu hata kama ni ndugu na jamaa wanajua ulipo.

Akili zetu waafrica zinatutosha wenyewe. Watu wenyewe wakuwapa number ya siri hawa hakina Butiku kuitoa dakika moja tu watu wai-tracę.

That is not clandestine at all.

Ni kumuombea mungu tu ndugu Polepole.
Nchi ngumu sana hii.
 
Back
Top Bottom