HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Tunafanye mbele ya wenye silaha?tukiendelea kuinamisha vichwa next victim ni sisi na familia zetu
Tunafanye mbele ya wenye silaha?tukiendelea kuinamisha vichwa next victim ni sisi na familia zetu
Umempa alichokitakaAngekufila kabisa maana huna maana yoyote
Wasengesenge km wewe hua nawaweka kwenye ignore list mazafaka
Huko Cuba hakujifunza haya Yote?Hakuwa na mguu wa kuku?
Kwanini ameishi kishamba hivyo?
Kwa mtu kama yeye, nilitegemea hapo anapoishi awe na chumba cha siri, cha underground, ama hata cha juu, watu wakifika wanaona ni kabati la nguo, wanafungua wanaona nguo ila kwa ndani kuna kachumba.
Alipaswa awe na mlango(njia /mbadala ya kutokea ikitokea wajuba wamezingira.
Nimeona geti limevunjwa, naimani sauti alisikia toka awali qngekuwa na vitu hivyo angeweza kuwachomoka.
Lakini alipaswa kwa na camera ambazo yeye chumbani kwake ndio anaona.
Kiukweli hapo mwamba kachemsha, ningekuwa na pesa za kutosha, ningewatikisa sana, wasingenidaka kizembe namna hiyo.
Aliishi kishamba sana,
Bado huyu ndugu yake alivyopimbi eti anatangaza ana chip mwilini
Yote kwa yote taifa linazidi kuteketea.
Nguvu ya umma inatosha kabisaTunafanye mbele ya wenye silaha?
Sijui hata imekuwaje, ila kazinguaHuko Cuba hakujifunza haya Yote?
Kabugi sanaSijui hata imekuwaje, ila kazingua
Mambo mengine lakini yaani ununue ugomvi na serikali halafu uishi Tanzania na watu hawa watoa roho.
Kibaya zaidi unawasaliana na watu hata kama ni ndugu na jamaa wanajua ulipo.
Akili zetu waafrica zinatutosha wenyewe. Watu wenyewe wakuwapa number ya siri hawa hakina Butiku kuitoa dakika moja tu watu wai-tracę.
That is not clandestine at all.
Ni kumuombea mungu tu ndugu Polepole.
Sawa sawaUmu ukisoma comments utajua akili za watanzania wengi
Ulitegemea nini mtu anayeleta fitna kuleta maafa nchini? Wazee wamepewa kibano wamemtaja yupo wapi ndio maana ya usalama wa taifa, ukiwa unapiga kelele kila siku kipindua nchi haya ndio matokeo.Kama hii habari ni ya ukweli hii ni hatari sana. Jeshi inabidi kuingia kazini kutekeleza majukumu yake mara moja kuwathibiti Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Mombo na Mafwele.
Noma kinomaAngekufila kabisa maana huna maana yoyote