CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Polepole amekosea sana huwezi ukasema maneno yale ukiwa ndani ya mipaka ya nchi hii, that is suicide.
hahaha huyo tesha ndio kamchoma pole pole baada ya kuminywaNi muda muafaka Tesha na wajeda wenzake waingie kazini. Lakini pia sisi Watanganyika wote tupinge huu uhuni, uonevu kwa njia yoyote ile itakayokomesha huu uhuni.
Nasikia Abdul alikuwa muuza matairi wa kawaida Leo bilionea!!Ohooo, Samia, Kikwete, Rostam na Abduli mnachokitafuta mtakipata.
🙄Kama ni kweli nimemsikitikia sana. Kama alikuwa nchini basi serikali iliamua kumpotezea. Kinachoonekana ni kuwa katekwa na wanaharakati wenzake ili kupata kiki ya kufanikisha agenda zao.
Alisema anataka pesaHapo ndio kuna haja ya Lissu kujitafakari. Achukue hizo hela aende zake Ubelgiji. Hakuna uzalendo nchi hii, hakuna watu wa kukupambania
Nime mmaindi kishenzi, halafu ana tabasamu hajui chip una pigwa kisu ina tolewa chap.Hata na mimi naona jamaa ni kama hajielewi vile, yeyey badala ya kumkimbiza mtu kimyakimya anatoa code, he is not smart kiukweli.
Kama ni kweli tunaomba JW Mtuokolee mtanzania wetu mwenye maono ya maendeleo ya kichumi ya Taifa
Kuna ushahidi wa kutosha wa utekaji, utesaji, mauaji, watu kutupwa magereza jikumbushe kesi za Mdude, Agatha Atuire, Kibao, Mbise, Kaswahili, Boniface Mwangi, Sativa, Kipanya, Soka, Chaula na wengine wengi.Kaonewa nini? wewe ungekuwa serikali ungemfanya nini mtu mwenye kuleta taharuki nchini, kutaja watu majina bila ushahidi na kuchochea vurugu. Hii habari njema kwa wapenda amani.
Polepole kukosoa kote kule afu yupo hapa nchini
Ntakuwa wa mwisho kuamini hili
Hapa kuna mchezo uko well planned…
Wabongo kwa unafiki hamjambo, akina Mange akisema mnadai oooh mbona kakimbia nchi, haya Polepole anayasemea yupo hapa hapa nchini, mmerudi tena ooh ajielewi angeondoka nchini, Watanganyika kuna kipande cha ubongo kiling'olewa wakati unazaliwa, Unafik tuMambo mengine lakini yaani ununue ugomvi na serikali halafu uishi Tanzania na watu hawa watoa roho.
Kibaya zaidi unawasaliana na watu hata kama ni ndugu na jamaa wanajua ulipo.
Akili zetu waafrica zinatutosha wenyewe. Watu wenyewe wakuwapa number ya siri hawa hakina Butiku kuitoa dakika moja tu watu wai-tracę.
That is not clandestine at all.
Ni kumuombea mungu tu ndugu Polepole.
Kwa akili yako ndogo unahisi mafwele ndiyo tatizo , mafwele ni kama mbwa tu anayetumika huyo mama ni just errand woman .Kama ni kweli asije myu hapa kusema kuwa Maza inawezekana hajui wala hakubaliki hili. Kwa nini Mafwele kila siku anatajwa kuhusika lakini hakuna kachofanyika dhidi yake......!!?
Butiku jana alinishangazaUkikonect dot unapata majibu kuwa wale wazee aliowamini wamemchomesha Polepole kwani usiku wa kuamkia leo kasema kuna wazee kadhaa kadhaa tuliowamini wameanza vikao baada ya uchaguzi wajifanye wanakaa vikao vya maridhiano na akasema mewakataa so kina mzee Butiku si wazalendo ni wanafiki ambao maslahi yalipuuzwa wakajifanya wanatetea taifa leo hii wamepewa bahasa nk wamemchoma Polepole so tukatae wahuni hata kina mzee Butiku wahuni tu
Unatukana unafikiri utapata faida gani?😁Wasengesenge km wewe hua nawaweka kwenye ignore list mazafaka
Wewe ni aina ya mtu mpumbavu sanaTesha atamukoa😅