Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Kama ni kweli nimemsikitikia sana. Kama alikuwa nchini basi serikali iliamua kumpotezea. Kinachoonekana ni kuwa katekwa na wanaharakati wenzake ili kupata kiki ya kufanikisha agenda zao.
Hahaaha reasoning yako huwa ni ya kipumbav sana, kwamba kwa ukosoaji ule serikali iamue kumpotezea na wakati sasa hivi mtu hata akisema tu "october tunatoka" wanamtia kizuizini?

Kwamba ametekwa na wanaharakati wenzie halafu wampige avuje damu vile?

Hakika ukiwa mtetezi wa majizi lazima uwe mwehu.
 
Kama alikuwa Tanzania kwa kweli atakuwa amefanya kosa,kwa hali ilvyo na vile alivyo kuwa anashambulia .

Hata hivyo iwe ni yeye ama sie hizo damu ni kwamba kuna mtu wamemvujisha damu kiasi hiko, na atapona kweli.

Kwa jinsi hii hakuna namna inabidi kufanyike isio ya kawaida ili kurudi kawaida kama kama taifa.
Hio mtego wamepewa na wameingia subiria uone jeshi linachukua nchi..
 
Hatuongei kuhusu Magu at the moment, ni kuondoa matakataka ya ccm yanayokula bila kunawq. Mkiongea habari za Magu mnatonesha vidonda.
Nimeshangaa sana hiyo comment ya jamaa, yaan anachotaka sasa tuanze kufanya comparison kati ya team magu na team samia+kikwete ni akina nani wana akili na wajanja, kisha tuanze kuwasifia wale ambao anawaona ni wajanja.

Yaan haangalii hata tuko kwenye situation gani wakati huu..
 
Kaonewa nini? wewe ungekuwa serikali ungemfanya nini mtu mwenye kuleta taharuki nchini, kutaja watu majina bila ushahidi na kuchochea vurugu. Hii habari njema kwa wapenda amani.
Wapenda amani? Amani ipi hiyo iliyopo hapa nchini kwa sasa? Huu utulivu wa nyie michepuko ya mafisadi na mabwana zenu kulibagaza hili taifa kadri mnavyotaka ndio unaita amani?
 
Kuna ushahidi wa kutosha wa utekaji, utesaji, mauaji, watu kutupwa magereza jikumbushe kesi za Mdude, Agatha Atuire, Kibao, Mbise, Kaswahili, Boniface Mwangi, Sativa, Kipanya, Soka, Chaula na wengine wengi.

Ushahidi wa Mahakama zisizotenda haki mfano ni kesi inayoendelea ya Uhaini ya Lissu, kufungiwa Chadema kufanya kazi zake kama chama cha siasa.

Ufisadi mkubwa unaoendelea nchini upigaji wa Kizigha kwenye tenda ya sare za jeshi, kesi imefutwa.

Kuuzwa kwa rasilimali za nchi hovyo bila kufuata taratibu na kwa bei za kutupwa kama bandari, misitu, mbuga, KIA, mgodi wa Mwadui, mgodi wa makaa ya mawe. Dili za Wicknell Chivayo kuchapisha karatasi za uchaguzi na vitendea kazi vya uchaguzi kimagumashi.

Mchakato wa mgombea wa urais kupitia CCM uliokiuka kanuni, taratibu, mila, desturi na katiba ya CCM. Rushwa za waziwazi kama kutoa magari za milioni 500 na wagombea wote wa vyama vya siasa.

Unataka ushahidi wa aina gani zaidi?
Wewe una hasira, pia ni mwanaharakati au mpinzani na ni haki yako, Ila shida yenu ni ileile ya CCM mtu wakiwapinga tu mna panic na matusi na hapo dola hamjashika sasa imagine ndio imeshika dola. Maana wako tayari wameshasema huyu na huyu tutawakomesha na kuwanyonga waizi wakubwa ni wazi mtakuwa kama CCM tu ni chance hamjapata.

Mtu akiwapinga huyu jambazi washenzi ni kama hamjui hata hao CCM wanawafuasi mamilioni kama mlivyo nyin yi. Sijasikia mtu akasema sheria itachukuwa mkondo wake ila mnahukumu watu bila ushahidi. Niambie tofauti yenu na hawa ni nini? tofauti ndogo tu hawa wana dola nyinyi bado lakini same shiiiiit.
 
Hivi Tanganyika mbona tumelala sana. Inakuwaje tunapotezwa tu tena na mzanzibari alafu tumekaa kimya tu. Mpaka watekwe wazazi au watoto wetu ndio tutasema imetosha? This is too much aisee.

Mtu huna mshindani kwenye uchaguzi sasa unateka ya nini wakati ushashinda? Utadhani yataishi milele.
Watanzania tunasubiri ccm wenyewe kwa wenyewe watifuane huko mpaka serikali ianguke kisha tusherekee ushindi.

Kwa huu ukimya wetu wa baya yanayoendelea naanza kupata mashaka kama watu wataotoka siku hiyo watafika hata 1m.

Hili suala la pole pole kutekwa, ilitakiwa sasa hivi watu tuwe tumeshaanza kudai haki zetu.
 
Kumuachia Pole pole linatakiwa kuwa ni jambo la lazima na si ombi tena. Kama mlikuwa mnasubiri kuuona moto unaanzaje kusambaa basi mmepatia sana. Hiyo 29 haifiki huko, hakikisheni na nyie mmeweka ulinzi wa ukuta wa zege kuzunguka familia zenu
 
Hahaaha reasoning yako huwa ni ya kipumbav sana, kwamba kwa ukosoaji ule serikali iamue kumpotezea na wakati sasa hivi mtu hata akisema tu "october tunatoka" wanamtia kizuizini?

Kwamba ametekwa na wanaharakati wenzie halafu wampige avuje damu vile?

Hakika ukiwa mtetezi wa majizi lazima uwe mwehu.
Japo sina uhakika na hii habari kama ni ya kweli au la lakini kama si ya kweli pia inawezekana kutngeneza scenerio ya namna hiyo. Damu siyo issue hata kuku ana damu inaweza kutumika.

Anyway kama ni kweli basi inasikitisha na kutafakarisha sana!
 
Wewe una hasira, pia ni mwanaharakati au mpinzani na ni haki yako, Ila shida yenu ni ileile ya CCM mtu wakiwapinga tu mna panic na matusi na hapo dola hamjashika sasa imagine ndio imeshika dola. Maana wako tayari wameshasema huyu na huyu tutawakomesha na kuwanyonga waizi wakubwa ni wazi mtakuwa kama CCM tu ni chance hamjapata.

Mtu akiwapinga huyu jambazi washenzi ni kama hamjui hata hao CCM wanawafuasi mamilioni kama mlivyo nyin yi. Sijasikia mtu akasema sheria itachukuwa mkondo wake ila mnahukumu watu bila ushahidi. Niambie tofauti yenu na hawa ni nini? tofauti ndogo tu hawa wana dola nyinyi bado lakini same shiiiiit.
Mimi ni Mtanzania nipo juu ya hizo labels zenu za kichama, kidini, kikabila haya mambo yenu ya divide and rule. Kuwagawanya watu na kujitenga.

Yanayoendelea kwa sasa yana athari kubwa kwa Taifa nzima na kwa kila mtu, Watanganyika wote, WanaCCM, WanaCDM na wasio na vyama hata wewe unaofikiri upo salama kwa sasa.

Ni kukosa akili, kuwatesa, kuwateka na kuwaua wananchi wenzako kisa wanaomba haki itendeke kwa wote, wanaomba nafasi ya kuchagua viongozi wao kwa haki, uhuru, uwazi, wanaomba rasilimali zao zitumike vizuri kwa faida ya wote.

Ukombozi, haki kwenye hii nchi utapatikana ukishirikisha CCM, CDM, wasio na vyama. Muhimu tusikubali kugawanywa kivyama. Muhimu kuangalia maslahi ya taifa kwanza.

Wananchi wengi wameshavuka hizo level za uchama, kugawanywa hovyo, mkakati wenu wa divide and rule ndio maana wote wamechukizwa na mnayowafanyia wananchi wenzao wa vyama vyote na wasio na vyama wanaodai haki kama Polepole, Lissu, Kibao, Mpina nk.

Kejeli,dharau, kebehi, matusi makubwa ni jinsi serikali inavyotumia kodi zetu kwa maslahi binafsi na jinsi ilivyoondoa mifumo yote ya kudai haki, uwajibikaji.

Hakuna sehemu nimekutukana, ila ni kwamba raia wana hasira sana kwa haya yanayoendelea na sehemu zote za kuongelea kero zao mmezifunga, hadi JF, vyombo karibu vyote vya habari vya ndani. Ndio maana unaona matusi, next stage haitakuwa matusi tu, watachukua hatua kuondoa huu uonevu, udhalimu na ukatili. Sababu hata wakikaa kimya bado mtawaonea, kuwateka na kutumbua kodi zao hovyo.

Wewe ndugu yako wa karibu akitekwa, kuteswa,kuuwawa utakuwa na chuki kubwa sana kwa watekaji.
 
Mimi kama wewe sipo chama chochote na kwa kiasi fulani uchaguzi wa 2015 sikupiga kura ila nilikuwa naomba wapinzani washinde na haikutokea. Wala siungi mkono utekaji na moyoni naomba sana hawa CCM wajitafakari wabadilike baadhi ya viongozi hawana maadili. Kitu siungi matusi na kuchochea vurugu kuvunja amani kwa hilo siungi mkono.
 
Back
Top Bottom