Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Mimi kama wewe sipo chama chochote na kwa kiasi fulani uchaguzi wa 2015 sikupiga kura ila nilikuwa naomba wapinzani washinde na haikutokea. Wala siungi mkono utekaji na moyoni naomba sana hawa CCM wajitafakari wabadilike baadhi ya viongozi hawana maadili. Kitu siungi matusi na kuchochea vurugu kuvunja amani kwa hilo siungi mkono.
Tayari Tanzania kwa matusi makubwa wanatukanwa wananchi, uchochezi mkubwa kwa vitendo vya genge lililoshika nchi, Tanzania kuna vurugu kubwa ikielekezwa upande mmoja tu. Upande wa wananchi. Wakiomba kutendewa haki, uwajibikaji.

Nafikiri unamaanisha hupendi wananchi wakijibu mapigo jino kwa jino kama wanavyosulibiwa kwa sasa. Hiyo siku itakuja sababu ya vitendo vya uchochezi, matusi na vurugu wanazofanyiwa wananchi kila siku.
 
Duh! am total speechless......

Najiuliza tu ,hivi mwamba kilichomuhakikishia usalama hata awepo Tanzania ni kipi? Mbona ameplay below standard sana ,anyway ngoja tuone uelekeo wa hii game itakapoishia .
Si alisema anamuamini Mungu wake wa mbinguni. Hujamsikia?
 
Tayari Tanzania kwa matusi makubwa wanatukanwa wananchi, uchochezi mkubwa kwa vitendo vya genge lililoshika nchi, Tanzania kuna vurugu kubwa ikielekezwa upande mmoja tu. Upande wa wananchi. Wakiomba kutendewa haki, uwajibikaji.

Nafikiri unamaanisha hupendi wananchi wakijibu mapigo jino kwa jino kama wanavyosulibiwa kwa sasa. Hiyo siku itakuja sababu ya vitendo vya uchochezi, matusi na vurugu wanazofanyiwa wananchi kila siku.
Sasa swali kwani wanachama wa CCM sio wananchi? unakusudia wananchi kina nani wapinzani tu? hapo ndio unakosea, hawa CCM wana watu usipuuze wingi wao katika hili.
 
Hicho unachokisema ni self evident. Nchi hii itakombelewa na kurudishwa kwenye mstari na Wananchi wote wa vyama vyote wanaopenda haki.

Ndani ya CCM wapo wengi wanaopenda haki na hawapendezwi na yanayoendelea kamaJaji Warioba na wengine ila wamezibwa midomo kama watanzania wengine wote. Wakiongea nao watatekwa na genge la wahuni.

Kumbuka wananchi wengi ni CCM by default ilikuwa lazima kuwa CCM wakati wa chama kimoja.
 
Kunajambo ambalo halipo sawa kwenye utekaji maana kama ni kwel polepole katekwa kama kweli basi tunaelekea ambako yeye mwenyewe alisema kuwa hatuko mbali! Binafsi nlikuwa namfuatilia ila hasa alikuwa anatoa code fulani hiv ambazo sasa wakuu wameingia kwenye plan yake na sasa kama itathibitishwa mpka masaa 48 hajasema chochote I think inabidi kama taifa tujitafakari sana
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....

"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"

Tumesikia let’s focus na agenda kuu iliyo mbele Yetu. Promo ya bure kwa watekaji. Tusonge mbele.
Mfarijike kwa maneno haya msikate tamaa.
Ni mapambano
 
Kama ni kweli, tumefika pabaya kama taifa. Lkn je balozi hakuwa hata na silaha yoyote. Mguu wa kuku. Kashindwaje kutawanya ubongo wa mtu mmoja aliyeejiingiza ndani
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....

"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"

Naona lile container la silaha la Abdul linafanya kazi, hawa jamaa sijui wanalipwa kiasi gani na huyu Abdul pamoja na mama yake kufanya ujahili wa aina hii.
Nilivyoona damu kuchukulia kwa Mdude nikajua moja kwa moja kuwa wameenda kumuua, it's the same story kwa Polepole. Mtu ambaye amevamiwa kuna namna ya kumteka bila ya kumwaga damu hata kama ana-resist kwa namna yoyote ile lakini lengo likiwa ni kwenda kumuua ndiyo huwa kunafanyika brutality iliyopitiliza na sometimes inawezekakana wakamchukua baada ya kuwa wameshamuua.
Ndipo Samia na Kikwete walipoifikisha nchi kwa sasa.
 
Mkuu kumbuka alikua anapambana na serikali ambayo ina kila aina ya resources njia ya yeye kua salama ni angebaki nje ya nchi japo pia simlaumu kwa kurudi.
Hata mimi simlaumu kurudi, ila najaribu kuwaza hakujiandaa na uvamizi, hakuwa na bunduki, kwanini asingefunga sensor mlangoni ikitokea mtu anakuja yeye ndio awe wa kwanza kupata taarifa chumbani kwake, ingekuwa rahisi kwake angeweza kuanza kuwashambulia wao kwanza, sawa alikosa mlango wa dharura, chumba cha dharura, vipi angekuwa na miwani ya kuonea gizani, baada ya kuingia angezima umeme wa nyumba nzima kisha akapambana nao kimya kimya..

Kuna sehemu alibugi, hakujiandaa kijasusi zaidi
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....

"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"

Duuh,
Kama ni kweli alikosea sana kupiga kambi ndani ya Tanzania. Angetulia nje
 
Duh! am total speechless......

Najiuliza tu ,hivi mwamba kilichomuhakikishia usalama hata awepo Tanzania ni kipi? Mbona ameplay below standard sana ,anyway ngoja tuone uelekeo wa hii game itakapoishia .
Yaani hata mimi nimeshangaa!!! All these days nilikuwa najua yuko nje ya nchi!!! Amefanya kitu cha kipumbavu sana. Yaani nimejikuta napata hasira ghafla!!! Au alidhani yeye ni so exceptional!!!! Ameniudhi kwa kweli.
 
Naona lile container la silaha la Abdul linafanya kazi, hawa jamaa sijui wanalipwa kiasi gani na huyu Abdul pamoja na mama yake kufanya ujahili wa aina hii.
Nilivyoona damu kuchukulia kwa Mdude nikajua moja kwa moja kuwa wameenda kumuua, it's the same story kwa Polepole. Mtu ambaye amevamiwa kuna namna ya kumteka bila ya kumwaga damu hata kama ana-resist kwa namna yoyote ile lakini lengo likiwa ni kwenda kumuua ndiyo huwa kunafanyika brutality iliyopitiliza na sometimes inawezekakana wakamchukua baada ya kuwa wameshamuua.
Ndipo Samia na Kikwete walipoifikisha nchi kwa sasa.
It’s very sad . Ila Mungu atayajibu haya
 
Vile alivyoanza tu kuongea ongea habari habari za mzima switch nikahisi tu alikuwa Tanzania ,kinyume na hapo ilikuwa anapaswa kusema tu muda fulani nitakuwa hewani ,watakaosumbuka kunifuatilia tumieni VPN.

Kama nikweli ,hakuwa ameandaliwa kwa viwango vyakutosha
 
Back
Top Bottom