one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Huwezi kupanga kuangusha serikali ukabaki salama sio Tanzania sio nchi yoyote duniani.Ukikonect dot unapata majibu kuwa wale wazee aliowamini wamemchomesha Polepole kwani usiku wa kuamkia leo kasema kuna wazee kadhaa kadhaa tuliowamini wameanza vikao baada ya uchaguzi wajifanye wanakaa vikao vya maridhiano na akasema mewakataa so kina mzee Butiku si wazalendo ni wanafiki ambao maslahi yalipuuzwa wakajifanya wanatetea taifa leo hii wamepewa bahasa nk wamemchoma Polepole so tukatae wahuni hata kina mzee Butiku wahuni tu