Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Wewe jamaa una akili za mavimtu mpole ukimuuzi matokeo hua katili mno.mama aliwapenda sana mkaanza mtukana matusi ya nguoni
Wewe jamaa una akili za mavimtu mpole ukimuuzi matokeo hua katili mno.mama aliwapenda sana mkaanza mtukana matusi ya nguoni
Ku.mamamako km huna cha kuongea kaa kimya, Mafwela anaishi wapi?Kama ni kweli nimemsikitikia sana. Kama alikuwa nchini basi serikali iliamua kumpotezea. Kinachoonekana ni kuwa katekwa na wanaharakati wenzake ili kupata kiki ya kufanikisha agenda zao.
Kukosea nini elezea vizuri sio unaeleza juu kwaa juuKama ni kweli basi kakake kakosea alivosema ana chip
Tunataka kujua anapoishi Mafwele tunajua anaishi uraiani haishi kambiniHakuwa na mguu wa kuku?
Kwanini ameishi kishamba hivyo?
Kwa mtu kama yeye, nilitegemea hapo anapoishi awe na chumba cha siri, cha underground, ama hata cha juu, watu wakifika wanaona ni kabati la nguo, wanafungua wanaona nguo ila kwa ndani kuna kachumba.
Alipaswa awe na mlango(njia /mbadala ya kutokea ikitokea wajuba wamezingira.
Nimeona geti limevunjwa, naimani sauti alisikia toka awali qngekuwa na vitu hivyo angeweza kuwachomoka.
Lakini alipaswa kwa na camera ambazo yeye chumbani kwake ndio anaona.
Kiukweli hapo mwamba kachemsha, ningekuwa na pesa za kutosha, ningewatikisa sana, wasingenidaka kizembe namna hiyo.
Yote kwa yote taifa linazidi kuteketea.
Umewastukia eeeh.Wanapoteza Mambo ya Kapt Tesha.. mjadara uhamiw huko kutekwa kwa Polepole
Nahisi amechomwaHakuwa na mguu wa kuku?
Kwanini ameishi kishamba hivyo?
Kwa mtu kama yeye, nilitegemea hapo anapoishi awe na chumba cha siri, cha underground, ama hata cha juu, watu wakifika wanaona ni kabati la nguo, wanafungua wanaona nguo ila kwa ndani kuna kachumba.
Alipaswa awe na mlango(njia /mbadala ya kutokea ikitokea wajuba wamezingira.
Nimeona geti limevunjwa, naimani sauti alisikia toka awali qngekuwa na vitu hivyo angeweza kuwachomoka.
Lakini alipaswa kwa na camera ambazo yeye chumbani kwake ndio anaona.
Kiukweli hapo mwamba kachemsha, ningekuwa na pesa za kutosha, ningewatikisa sana, wasingenidaka kizembe namna hiyo.
Aliishi kishamba sana,
Bado huyu ndugu yake alivyopimbi eti anatangaza ana chip mwilini
Yote kwa yote taifa linazidi kuteketea.
Hawakosekani watu wenye taarifa zake, watazimwaga tu.Tunataka kujua anapoishi Mafwele tunajua anaishi uraiani haishi kambini
Nimeshangaa sana yani polepole alikuwa anafanya ushamba wa kiwango gani upo nchini unawasiliqna na hawa wazee ambao walisahauliwa leo wamekumbukwa wamemchoma this time uhuni uhuni kwani hakuna cha maana tutakufa wote tu maana hii ndio itakuwa sera yao wanafanya ujinga hakuna cha kuwafanya kwani wanamini watakuuwa tuPro Magu wengi hawapo smart kwenye movement zao
Lakini alipaswa awe na tahadhari zote, yaani hadi hiyo ya kuchomwa ilibidi apige calculations zake.Nahisi amechomwa
Tutataka full details Mafwele anaishi anaishi wapi maana km anaishi kwa kuotea siku yake inakuja na yeye atajaa tuW
Hawakosekani watu wenye taarifa zake, watazimwaga tu.
Ngoja wenye taarifa zake watakupa.Tutataka full details Mafwele anaishi anaishi wapi maana km anaishi kwa kuotea siku yake inakuja na yeye atajaa tu
Umeitengeneza wewe hio script au ulikuwepo wakati wanaitengeneza?Umewastukia eeeh.
Kama MTU ni mtaalamu wa IT or forensics, ukiangalia hii video na anacho zungumza huyo brother. Unaona kabisa hii ni script TU imetengenezwa,
Angekufila kabisa maana huna maana yoyoteWrite your reply...huyu polepole alivyokua dc wa ubungo alivunja duka langu usiku pale mbezi mwisho na kunisabishia matatizo makubwa had kupoteza afya yangu kwa msongo