MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kama ni kweli nimemsikitikia sana. Kama alikuwa nchini basi serikali iliamua kumpotezea. Kinachoonekana ni kuwa katekwa na wanaharakati wenzake ili kupata kiki ya kufanikisha agenda zao.
Kama alikua Tz basi hii nchi sio salama.
Kama hii nchi wanaweza tafuta mtu kwa miezi na yupo humu humu wakamkosa basi hatuna vyombo vya dola.
Wamejichanganya wapi kumbuka max walimwambiaje watamteka wanajua tutaongea in two weeks wanainchi wataacha ongea so huu sio mda tena wakujadili mitandaoni ni kwenda osterbay pale watuambie polepole yupo wapi overSasa hapo wamejichanganya.
Hapo ndio kuna haja ya Lissu kujitafakari. Achukue hizo hela aende zake Ubelgiji. Hakuna uzalendo nchi hii, hakuna watu wa kukupambaniaUkikonect dot unapata majibu kuwa wale wazee aliowamini wamemchomesha polepole kwani usiku wa kuamkia leo kasema kuna wazee kadhaa kadhaa tuliowamini wameanza vikao baada ya uchaguzi wajifanye wanakaa vikao vya maridhiano na akasema mewakataa so kina mzee butiku si wazalendo ni wanafiki ambao maslahi yalipuuzwa wakajifanya wanatetea taifa leo hii wamepewa bahasa nk wamemchoma polepole so tukatae wahuni hata kina mzee butiku wahuni tu
mtu mpole ukimuuzi matokeo hua katili mno.mama aliwapenda sana mkaanza mtukana matusi ya nguoniDuuu kama ni kweli basi jamaa naona harudi tena aisee....Ila Samia sijawahi kuona mtu katili kama huyu sijawahi kabisaa.....
Kweli.Wamejichanganya wapi kumbuka max walimwambiaje watamteka wanajua tutaongea in two weeks wanainchi wataacha ongea so huu sio mda tena wakujadili mitandaoni ni kwenda osterbay pale watuambie polepole yupo wapi over
Kwa hiyo hata hizo video huja zitazama ukamataji Gani Damu Zina vuja kuanzia chumban kwenye korido sebuleni mpaka nje ya fensi!?Hi Taarifa ina ukakakasi, Polepole ametekwa au amekamatwa?
Nahisi kama kunadrama inatengenezwa hapa ,jamaa hawezi kuwa boya kwa kiwango hicho.Polepole kukosoa kote kule afu yupo hapa nchini
Ntakuwa wa mwisho kuamini hili
Hapa kuna mchezo uko well planned…
Ms3ng3 tu wewe...mtu mpole ukimuuzi matokeo hua katili mno.mama aliwapenda sana mkaanza mtukana matusi ya nguoni