Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Hata mimi simlaumu kurudi, ila najaribu kuwaza hakujiandaa na uvamizi, hakuwa na bunduki, kwanini asingefunga sensor mlangoni ikitokea mtu anakuja yeye ndio awe wa kwanza kupata taarifa chumbani kwake, ingekuwa rahisi kwake angeweza kuanza kuwashambulia wao kwanza, sawa alikosa mlango wa dharura, chumba cha dharura, vipi angekuwa na miwani ya kuonea gizani, baada ya kuingia angezima umeme wa nyumba nzima kisha akapambana nao kimya kimya..

Kuna sehemu alibugi, hakujiandaa kijasusi zaidi
Mimi siamini kama huyo jamaa katekwa..amekaa serikalini anaujua uharamia wote wa serikali. Hawezi kukaa kiboya namna hyo. Huo ni mpango umesukwa ,tutaona matokeo hivi punde
 
Mimi siamini kama huyo jamaa katekwa..amekaa serikalini anaujua uharamia wote wa serikali. Hawezi kukaa kiboya namna hyo. Huo ni mpango umesukwa ,tutaona matokeo hivi punde
Subiri uone, mie naamini wamemchukua..
 
kwa maelezo ya kaka wa polepole, huenda yeye ndo kamponza...

anadai jana wameongea sana na polepole...

kuna namna alikua anafuatiliwa.
 
Alikuwa mzalendo, wakikosoa wakiwa mbali mnasema wanaongea kwa sababu wapo nje ya nchi, wakija ndani ya nchi mnasema hayupo smart angekuwa mbali.

Mi naona ni shujaa, na alisema kabisa yupo nchini, hapo kikubwa hao mabilionea kuna dau wamelitangaza, hapo unakuta hata ndugu yake amekula mabilioni ili kumuuza jamaa.

Kama ndugu zake walikuwa wanafahamu alipo ina maana hi haikuwa siri tena.
Inasemekana kachomwa na mja kazi wake.
 
Ukikonect dot unapata majibu kuwa wale wazee aliowamini wamemchomesha Polepole kwani usiku wa kuamkia leo kasema kuna wazee kadhaa kadhaa tuliowamini wameanza vikao baada ya uchaguzi wajifanye wanakaa vikao vya maridhiano na akasema mewakataa so kina mzee Butiku si wazalendo ni wanafiki ambao maslahi yalipuuzwa wakajifanya wanatetea taifa leo hii wamepewa bahasa nk wamemchoma Polepole so tukatae wahuni hata kina mzee Butiku wahuni tu
Kwa press alioifanya mzee butiku jana ni wazi kasaliti msimamo wake. Yule mzee ni jau.
 
Moyo wangu umeumia sana leo, baada ya shujaa JPM nilikuwa namuona Polepole kusimama kwenye haki na kupaza sauti za wanyonge, Ila nguzo imeanguka.

Very heartbreaking 💔 …wazalendo mlioko kwenye vyombo vya ulinzi tusaidieni kumuokoa uyu mtu kama yuko hai, au kama amekufa basi tumpe hifadhi nzuri na heshima zake za mwisho.

Samia have crossed the Rubicon.
 
Mambo yanaenda kasi sana
Kwahiyo si mlisema yeye ni usalama na ana mbinu zote, hakamatiki kindezi?
 
Back
Top Bottom