REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Kuna kitu kinaitajika fanyika hii andika andika haina maana hawa jamaa watatumaliza inatakiwa mpango kando wa kimya kimyaMurulo au Mafwele?
Kuna kitu kinaitajika fanyika hii andika andika haina maana hawa jamaa watatumaliza inatakiwa mpango kando wa kimya kimyaMurulo au Mafwele?
That's very true,Kuna kitu kinaitajika fanyika hii andika andika haina maana hawa jamaa watatumaliza inatakiwa mpango kando wa kimya kimya
Eeh maana tunakuwa kama tunataka jipa ujuaji wa tarifa ambazo hazina maana ooh tunajua furani hivi na hivi so what ooh tunajua mdude bado yupo so what huu ungese inatakiwa tuache hawa jamaa wakijua ukifanya hivi jamii inareact huu ushamba ushamba wangeacha yani mtu anatekwa siye tuaanza ooh tuanjaua furani furani hizo tarifa zinaitaji reaction ya vitendo so maneno na kuandika andika tutoke uko kwenye andika andika twende kwenye actionThat's very true,
Very good so can you give the exact location of Mwafwele?Eeh maana tunakuwa kama tunataka jipa ujuaji wa tarifa ambazo hazina maana ooh tunajua furani hivi na hivi so what ooh tunajua mdude bado yupo so what huu ungese inatakiwa tuache hawa jamaa wakijua ukifanya hivi jamii inareact huu ushamba ushamba wangeacha yani mtu anatekwa siye tuaanza ooh tuanjaua furani furani hizo tarifa zinaitaji reaction ya vitendo so maneno na kuandika andika tutoke uko kwenye andika andika twende kwenye action
Hii hakutakiwa kusema. Wataitafuta na kuitoa.Na kama habari hii ni ya kweli kaka yake Polepole anasema ana chip mwilini popote watakapomficha patajulikana kwa familia yake na watu wake wa karibu.
Wewe kamanda ilitakiwa uwe barabarani. Sio kulilia jeshiKama hii habari ni ya ukweli hii ni hatari sana. Jeshi inabidi kuingia kazini kutekeleza majukumu yake mara moja kuwathibiti Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Mombo na Mafwele.
Labda ana sababu zake za kusema. Watekaji wanaweza kuogopa kumuua sababu last location na mwili wake ulipotupwa unaweza kuwa tracked.Hii hakutakiwa kusema. Wataitafuta na kuitoa.
Ni wajibu wetu mimi, sisi wote, mimi kupigania haki zetu za msingi kuheshimiwa, na uwajibikaji.Wewe kamanda ilitakiwa uwe barabarani. Sio kulilia jeshi
Kwa watanzania gani ? Hawa wanadiscuss Simba na Yanga ooh hatuchezi wakati Lissu yupo mahakamani ? Namshauri CCM na serikali ya Mama ongezeni shida mpaka watu wawe tayari kuua polisi. Maana uwezo wa watanzania kuvumilia shida bado upo.Eeh maana tunakuwa kama tunataka jipa ujuaji wa tarifa ambazo hazina maana ooh tunajua furani hivi na hivi so what ooh tunajua mdude bado yupo so what huu ungese inatakiwa tuache hawa jamaa wakijua ukifanya hivi jamii inareact huu ushamba ushamba wangeacha yani mtu anatekwa siye tuaanza ooh tuanjaua furani furani hizo tarifa zinaitaji reaction ya vitendo so maneno na kuandika andika tutoke uko kwenye andika andika twende kwenye action
Kobaz tuliaMjomba Magu alikuwa si katili?
Hivi leo mlishasahau?
Hawa jamaa kama wanatekana waache tu watekane wauane poa tu mana wakiwa kwenye mfumo na hizo viete zao wala hawatuoini sisi,wanapita na vingora kiufupi hawa sio wenzetu hata hizi kelele binafsi naona hazina maana kabisa hawa wakuu wa wilaya tu ukiwa mtu wa kitaani huwezi kuongea nae loote sembuse hao ambao hadi wamekua mabalozi kuna yule jamaa alikua mkuu wa wilaya ya Hai siku mfumo umemtema alikua kama kichaa mixer alipigishwa hadi magoti,kimsingi casino badirika watakatana sana.Binafsi sina sympathy yoyote na huyu mwamba, ninachosikitika ni kwamba madini anayotoa tunaenda kuyakosa tena.
Lakini YEYE wakati yupo kwenye system alisupport haya mambo ya utekaji tena tunaweza kusema ALIASISI, maana awamu ya nne hayakuwepo.
Aliyaasisi au ali support either direct au kwa kushindwa kukemea alipokua na nafasi kubwa.
Sasa acha aonje uchungu wa dawa aliyosaidia kuitengeneza.
Familia yake ionje machungu ya watu ya familia za akina Saanane n.k
Ni sawa kesho Bashite atubu then watu wapite nae kwamba mimi nitakua na huruma nae. NEVER
Bora mzee mwenzangu una akili ya kujiongezaMnisamehe mimi nina familia na ndugu kibao wananitegemea....
#FreePolepoleNow #wakeupTanzania #riseupTanzania #STRUGGLE_FOR_AFRICA #AFRICA_UNITED 🇹🇿🇿🇦Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"
View attachment 3484576
View attachment 3484577
UHAKIKI KAMA ALIKUWA HAPO:
View attachment 3484595
View attachment 3484596
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"
View attachment 3484576
View attachment 3484577
UHAKIKI KAMA ALIKUWA HAPO:
View attachment 3484595
View attachment 3484596