antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Hujasikia hapo kuwa ana vyanzo vya taarifa ndani ya majeshi?Write your reply...nani alimuona mafwele kama kamteka pole pole?
Hujasikia hapo kuwa ana vyanzo vya taarifa ndani ya majeshi?Write your reply...nani alimuona mafwele kama kamteka pole pole?
Fafanua.Kama ni kweli, ni mtego mwingine huo wa kumnasa vizuri adui wa taifa hili
Mafwele ni kifaa tu, unachoweza hata wewe kwenda kukiondoa kazini. Hastahili kuwa kwenye hiyo orodha.Kama hii habari ni ya ukweli hii ni hatari sana. Jeshi inabidi kuingia kazini kutekeleza majukumu yake mara moja kuwathibiti Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Mombo na Mafwele.
Hii dawa mpya, inafanya kazi vizuri; nakusihi usiache kuendelea nayo.Mambo mengine lakini yaani ununue ugomvi na serikali halafu uishi Tanzania na watu hawa watoa roho.
Kibaya zaidi unawasaliana na watu hata kama ni ndugu na jamaa wanajua ulipo.
Akili zetu waafrica zinatutosha wenyewe. Watu wenyewe wakuwapa number ya siri hawa hakina Butiku kuitoa dakika moja tu watu wai-tracę.
That is not clandestine at all.
Ni kumuombea mungu tu ndugu Polepole.
Body language ya mzee Butiku inaongea mengi rudi kaangalie hiyo clipKwa press alioifanya mzee butiku jana ni wazi kasaliti msimamo wake. Yule mzee ni jau.
Wewe Hadi Sasa umechukua hatua Gani,kazi Yako ni kulaumu tuKama hapa ingekuwa Kenya ndio Polepole kakamatwa
Zamani mitaa inawaka moto
Lakini wabongo, ni wakusikitikia sana...
Naona unafurahi, sawa.Tesha atamukoa😅
Umefurahi kuumizwa Kwa mwenzio. Haya Fanya sherehe bc.Chadema tena tena katika harakati za kuwapiga tone tone mapoyoyo yao
Mnisamehe mimi nina familia na ndugu kibao wananitegemea....Wewe Hadi Sasa umechukua hatua Gani,kazi Yako ni kulaumu tu
Mjomba Magu alikuwa si katili?Duuu kama ni kweli basi jamaa naona harudi tena aisee....Ila Samia sijawahi kuona mtu katili kama huyu sijawahi kabisaa.....
Basi piga nyama chini Kaa Kwa kutuliaMnisamehe mimi nina familia na ndugu kibao wananitegemea....
Kwahiyo wewe umepanga kuchukua hatua yoyote au unasoma tu komentiBasi piga nyama chini Kaa Kwa kutulia
Obviously wameshamuua.Kama yote aliyokuwa akifichua alikuwa nchini, basi amefanya mambo kitanzania au tuseme kizanzibari. Watamuua tu hawajui akina Kikwete na Rostam na sasa Samia na Makonda.
Sina furaha hata kidogo, ila sipendi mijitu inayozushazusha na kusingizia watu kwa chuki zao binafsi.Umefurahi kuumizwa Kwa mwenzio. Haya Fanya sherehe bc.
Bila shaka mtoa mada amelewa.Tumekukosea Nini Samia? Tuachietanfanyika yetu, nenda kwenu .muriroooooo njooo sinza unikamate
Na ndie aliyemchoma uyo mzee kafuatwa katishwa kalegea kauza ramani inauma sanaKwa press alioifanya mzee butiku jana ni wazi kasaliti msimamo wake. Yule mzee ni jau.