Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Mimi nashangaa sana kuona baadhi ya watu wameona eti issue ya Polepole kujiuzulu Ubalozi kama ni issue kubwa 😳😳🙄🙄 !

Alijiuzulu Spika, tukasikia na Makamu anataka akamalizie maisha yake kwenye Kilimo !
Kisha PM akatangaza hagombei tena !
Sasa tena Polepole kuachia Ubalozi ndio kuwe ni big issue kuliko zile nyingine ??!! 😳
Bandugu ma GT you must be seriously sometimes when you are making analysis about this Kantrii bandugu !
Locuta causa finita ndio mpango mzima 😳 ! Mengine yooote ni kelele za mpangaji tu hazimzuii mwenye nyumba kulala !
Au nasema uongo ndugu zanguniii???!
 
Wacha wee😂😂😂😂
 
Huenda amepata deal ya maisha huko aliko!
Sema wasi wangu kwa kuwa hajarudisha kadi ya chama,ni kama yuko mguu mmoja ndani na mguu mwingine nje!
Kama Samia atashinda uchaguzi huenda atarudi kugalagala kuomba msamaha kwa nini alimkosoa mpaka kumwandikia barua ya kujiuzuru ubarozi.
Binafsi hata kama ameonyesha angalau kukerwa na yanayoendelea katika nchi yetu,sijawahi kumwamini Mwanasiasa ye yote wa nchi hii.
 
Ndugu uko sawa. Tatizo ni udini na UZANZIBARI tu. Polepole na mwendo kasi wanastrive kutaka kuizima Nuru ya nyota iliyowashwa na M/Mungu mwenyewe. Nimeamini kumbe ndugu zetu wa bara wanang' ania MUUNGANO kwa maslahi Yao ila ikitokea wakahisi maslahi Yao yapo on verge of collapse huwa hawajali uhai wa Mungano na wako tayari uvunjike. Hawaelewi kuwa hata kumpiga vita samia kunaweza kuresult irreparable damage kwa MUUNGANO. They are going blindfolded.
 
Kichaka anachofichwa Samia ni Udini tu, ni kama yeye ndio mwislam wa kwanza kuwa Rais.

Hatudanganyiki!
Hamdanganyiki!
Mchukueni Polepole basi atawasaidia kwenye No Reforms No Election yenu mana nyie kila anayemponda Samia ni rafiki haijalishi aliwatenda nini huko nyuma.
Hata Sabaya leo hii akimponda Mama tu basi mtasahau yoote aliyowatenda na kuanza kumshabikia.
Yaani CDM sasa hivi mnatengenezewa tu watu wa kuwashabikia. Tayari mmeshapewa Mpina, Gwajiboy na Sasa Polepole
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Kwani Polepole kaongelea uchaguzi??Kuna sehemu kasema mambo ya chaguzi??Mbona kama wewe unajitekenya mwenyewe, jiwe limerushwa gizani, naona mnaanza kutoa milio.
Subiri kuna mwenzako atakuja kuongelea utekaji, mwingine wizi wa pesa za uma na ufisadi n.k Mtaibuka wote kila mtu na kitengo chake
 
Nyie wajinga mtapata lini akili???

Rais akikosolewa mnaenda kujificha kwenye mwavuli wa dini ya Rais!!! mi upumbavu wa hali ya juu,jibuni hoja.

Mwambieni huyo mama akachukue fomu,, anaogopa Nini??
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
We kama hujashtuka, na hakuna aliyeshtuka, hii mada umeileta ya nini?
 
Mimi nashangaa sana kuona baadhi ya watu wameona eti issue ya Polepole kujiuzulu Ubalozi kama ni issue kubwa 😳😳🙄🙄 !

Alijiuzulu Spika, tukasikia na Makamu anataka akamalizie maisha yake kwenye Kilimo !
Kisha PM akatangaza hagombei tena !
Sasa tena Polepole kuachia Ubalozi ndio kuwe ni big issue kuliko zile nyingine ??!! 😳
Bandugu ma GT you must be seriously sometimes when you are making analysis about this Kantrii bandugu !
Locuta causa finita ndio mpango mzima 😳 ! Mengine yooote ni kelele za mpangaji tu hazimzuii mwenye nyumba kulala !
Au nasema uongo ndugu zanguniii???!
Tena asivyokuwa na bahati anatangaza kujiuzulu akiwa Cuba nchi ya kijamaa kabisa ambako kila kitu kushotoooo geuka!! watu wote wanageuka. Hivi kule waCuba simewamemuona chizi tu wa Magharibi?
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Unajiliwaza.Kama ni hivyo,ungetulia na kutoandika huo uzi legelege.
 
Huenda amepata deal ya maisha huko aliko!
Sema wasi wangu kwa kuwa hajarudisha kadi ya chama,ni kama yuko mguu mmoja ndani na mguu mwingine nje!
Kama Samia atashinda uchaguzi huenda atarudi kugalagala kuomba msamaha kwa nini alimkosoa mpaka kumwandikia barua ya kujiuzuru ubarozi.
Binafsi hata kama ameonyesha angalau kukerwa na yanayoendelea katika nchi yetu,sijawahi kumwamini Mwanasiasa ye yote wa nchi hii.
Huwezi kujiuzulu kwa kumwandikia Rais barua ambayo umeiweka mtandaoni. Kunguru hana kibyongo bhana, ukimuona ana kibyongo ameinama anaokota kitu. Mama lazima amuwahi kabla hajaruka kujua anataka kuruka na kitu gani.
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
wana chuki na SamiaSamia
 
Ndugu uko sawa. Tatizo ni udini na UZANZIBARI tu. Polepole na mwendo kasi wanastrive kutaka kuizima Nuru ya nyota iliyowashwa na M/Mungu mwenyewe. Nimeamini kumbe ndugu zetu wa bara wanang' ania MUUNGANO kwa maslahi Yao ila ikitokea wakahisi maslahi Yao yapo on verge of collapse huwa hawajali uhai wa Mungano na wako tayari uvunjike. Hawaelewi kuwa hata kumpiga vita samia kunaweza kuresult irreparable damage kwa MUUNGANO. They are going blindfolded.
Kila mtu anaekosoa serikali anajihusisha na Mungu, Mungu, Mungu kila mmoja. Polepole nae ameangukia kwenye mtego huohuo. Ukishalijua jina la mbwa umeshatatua 70% ya tatizo la kuzuia kung'atwa na mbwa huyo. Udini, uzanzibar, udini, uzanzibar, udini, uzanzibar, waarabu, waarabu, waarabu, udini, uzanzibar. wanajirudia humohumo na palepale.

Kila kitu, malalamiko, dukuduku, ukoaji lazima ujikite kwenye katiba. Je, kuna kitu kiko nje ya katiba ya Jamhuri au ile ya CCM? Polepole anasema anajiuzulu kwa sababu ya UTAMADUNI wa CCM kukiukwa, Utamaduni ni nini? utamaduni ni utamaduni tuu. Yaani mtoto asipokuamkia shikamoo lakini akaonyesha ishara nyingine ya kukuheshimu kama vile kuinama, kuchuchumaa, kugalagala au kushika kichwa chako utasema amekosea sana na kuchukua kiboko umpige? Polepole ana jambo lake sawa na wale wengine akina naniliu.
 
Hamdanganyiki!
Mchukueni Polepole basi atawasaidia kwenye No Reforms No Election yenu mana nyie kila anayemponda Samia ni rafiki haijalishi aliwatenda nini huko nyuma.
Hata Sabaya leo hii akimponda Mama tu basi mtasahau yoote aliyowatenda na kuanza kumshabikia.
Yaani CDM sasa hivi mnatengenezewa tu watu wa kuwashabikia. Tayari mmeshapewa Mpina, Gwajiboy na Sasa Polepole
Leo hata Lissu atakwambia Magufuli alikuwa bora kuliko Samia, nonsense
 
Kwani Polepole kaongelea uchaguzi??Kuna sehemu kasema mambo ya chaguzi??Mbona kama wewe unajitekenya mwenyewe, jiwe limerushwa gizani, naona mnaanza kutoa milio.
Subiri kuna mwenzako atakuja kuongelea utekaji, mwingine wizi wa pesa za uma na ufisadi n.k Mtaibuka wote kila mtu na kitengo chake
Rais gani hakutuibia hela zetu? Unafahamu Nyerere ametumia kiasi gani cha pesa zetu kukombolea mataifa mengine? Hata vita ya uganda haikuwa vita yetu, ni Mwl Nyerere alimchokoza Idi Amin ili kumrejesha Obote.
 
Hii picha hapo Chini ni ya watoto wa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S, Ali Al- Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain. Imam Hussain aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Waliposikia tu habari baba yao kuuwawa kikatili walitimua mbio huku wakilia. Yani ni simanzi siku ya Ashura.

View attachment 3406308

adriz Covax
Ni kabla gani hao
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Uliishia darasa la ngapi golo
 
Mbona tayari sasa hivi CHADEMA wanasema Magufuli alikuwa bora sana kuliko Samia
Ndio uone kazi iliyoko mbele yetu. Hata paka unaweza kumsababisha ajigeuze chui ili kujiokoa.
 
Back
Top Bottom