Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

Nyie wajinga mtapata lini akili???

Rais akikosolewa mnaenda kujificha kwenye mwavuli wa dini ya Rais!!! mi upumbavu wa hali ya juu,jibuni hoja.

Mwambieni huyo mama akachukue fomu,, anaogopa Nini??

Kwani Polepole kaongelea uchaguzi??Kuna sehemu kasema mambo ya chaguzi??Mbona kama wewe unajitekenya mwenyewe, jiwe limerushwa gizani, naona mnaanza kutoa milio.
Subiri kuna mwenzako atakuja kuongelea utekaji, mwingine wizi wa pesa za uma na ufisadi n.k Mtaibuka wote kila mtu na kitengo chake
Hujamsikia akisema chama kwanza mtu baadae? alilalamika uteuzi ndani ya CCM. Huo sio uchaguzi?. Polepole hajawahi kusikia watu habari za takrima, wajumbe wabaya, kukatwa, nk kwenye chaguzi za CCM? . Yaani anataka kuwashawishi watu kuwa mambo yote hayo hayakuwepo huko nyuma ila yamekuja na Samia. Ni wajinga wa waziwazi hawa.

Kama ukimsikiliza Lissu vizuri, Heche, Kitima, Gwajima, na, na, na, utajuwa kuwa Polepole pia anaunga juhudi.
 
Kila mtu anaekosoa serikali anajihusisha na Mungu, Mungu, Mungu kila mmoja. Polepole nae ameangukia kwenye mtego huohuo. Ukishalijua jina la mbwa umeshatatua 70% ya tatizo la kuzuia kung'atwa na mbwa huyo. Udini, uzanzibar, udini, uzanzibar, udini, uzanzibar, waarabu, waarabu, waarabu, udini, uzanzibar. wanajirudia humohumo na palepale.

Kila kitu, malalamiko, dukuduku, ukoaji lazima ujikite kwenye katiba. Je, kuna kitu kiko nje ya katiba ya Jamhuri au ile ya CCM? Polepole anasema anajiuzulu kwa sababu ya UTAMADUNI wa CCM kukiukwa, Utamaduni ni nini? utamaduni ni utamaduni tuu. Yaani mtoto asipokuamkia shikamoo lakini akaonyesha ishara nyingine ya kukuheshimu kama vile kuinama, kuchuchumaa, kugalagala au kushika kichwa chako utasema amekosea sana na kuchukua kiboko umpige? Polepole ana jambo lake sawa na wale wengine akina naniliu.
Issue ya Polepole ni ndogo sana na haina impact yeyote kwa siasa za Nchi hii !
Kwanza ni vyema ikaeleweka URais ni Taasisi !
Sio rahisi kuitingisha hiyo Taasisi 😳 !
 
polepole hana issue, CCM ni ileile oo ni ileileee. Polepole anadhani CCM inashinda chaguzi miaka kihalali kabisa?

Atukumbushe namna Salim Ahmed Salim alivyoenguliwa kwenye kinyang'anyilo cha urais? Lowasa je? Rostam Aziz?, Membe?, Malechela? . CCM haijawahi kunyooka kwenye chaguzi zake zoooote.

Why now?
 
Hujashtuka na ukaja kuweka bandiko hapa mwashamba asome? Nani anajitekenya sasa yeye au wewe?
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga.
 
Hujashtuka na ukaja kuweka bandiko hapa mwashamba asome? Nani anajitekenya sasa yeye au wewe?
Wrong timing. Dunia yote Iko Gaza na Ukraine. Wanakufa sana huko hawana khabari na watu waliovimbiwa na misosi kwenye amani. Kule Gaza watu wanauawa na majeshi ya Israel wakati wako kwenye msululu wa kupata chakula.

Hawa jamaa hawajui kuwa mabalozi wa Magharibi wanaishi hapa. Wanaona namna nchi inavyopiga hatua katika nyanja zote. Wanajua pia wapinzani wanawadanganya wananchi na hawana sera mbadala zaidi ya kutoa malalamiko.
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Kesho mtapoteana enyi simbilisi wa lumumba
 
Nimesoma hili bandiko lako nikajiskia huzuni kubwa moyoni
Kaka Kuna wenzetu wanazo ajenda zao lakini hawatuambii ili nasi ama tuungane nao ama tukatae. Inawezekana Kuna kitu kikubwa wanakijua lakini wanzunguuka mbuyu tu hawakisemi kuhusu hii awamu.

Sisi ambao tulikuwepo kwenye awamu zetu huwa tuna compare and contrast mambo yalivyokuwa kwenye Kila awamu. Tunagundua kuwa CCM ni ileile Jana na leo, hakuna mwanaccm mwenye afadhali. Nyerere alifuta vyama vingi kama Magufuli kitu kilichosababisha akina Kambona kuikimbia nchi. Polepole ni mnafiki kwelkwei. Haya na hivi anavyofanya Samia havina tofauti na watangulizi wake. Ina maana Humphrey halijui hilo
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Lucas Mwashambwa kajibu hadi barua
 
Polepole ni kichwa pumbu....
Kitu ambacho Hawa wapinzani hawakijui ni kudhani wazungu hawajui kinachoendelea nchini tangu tupate Uhuru. Wanadhani wazungu hawajui CCM inafanya nn kusalia madarakani tangu Uhuru.

Kitu kingine ambacho Humphrey hajui au anajisahaulisha ni kudhani wazungu hawajui kuwa wapinzani walifungiwa na Magufuli kufanya siasa na Samia akaja kuwafungulia. Hawajui kuwa wazungu wanajua kuwa Samia ana afadhali kwao kuliko Magufuli.

Kingine ambacho akina Humphrey na wenzake hawajui ni kudhani kuwa wazungu wanajua kuwa Samia ni Rais mwanamke anaejaribu kuwa Rais katika nchi za Africa zenye chumi ndogo sana. Hata Ulaya ni nadara mwanamke kuwa Rais sembuse Africa?

Kwavyovyote vile wazungu wanawapuuza akina Humphrey, wanaona kuwa wanamuonea tu.
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
wapumbavu kama wewe ndio hukimbilia kuita kitu udini wanapoona wameshindwa hoja. sijawai kuona mtu mjinga kama wewe kwa kweli.
 
Loyalty starts at home.

If a man can’t be solid with the woman in his bed,
he’ll crumble under pressure in the streets.

Your word means nothing if your actions don’t hold weight.

Honor isn't selective—it’s a lifestyle.
 
Msikilize Humphrey, anamtaja Mungu Kila wakati kinafiki kabisa. Wakati Lissu anapigwa risasi na waliompiga hawajakamatwa hadi Leo yeye alikuwa Katibu mwenezi CCM. Huyo Mungu wake alikuwa wapi asijiuzulu kipindi hicho? Dini inatumika kama kichaka cha sukuma gang
 
Loyalty starts at home.

If a man can’t be solid with the woman in his bed,
he’ll crumble under pressure in the streets.

Your word means nothing if your actions don’t hold weight.

Honor isn't selective—it’s a lifestyle.
Clarify!!!
 
Back
Top Bottom