Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

Hii picha hapo Chini ni ya watoto wa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S, Ali Al- Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain. Imam Hussain aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Waliposikia tu habari baba yao kuuwawa kikatili walitimua mbio huku wakilia. Yani ni simanzi siku ya Ashura.

View attachment 3406308

adriz Covax
Tafta hela maskini ww, waarabu si wajomba zako
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Polepole ni mjinga mmoja hivi.Akili alikuwanazo wakati wa kukusanya maoni ya wananchi juu ya katiba mpya
 
Kwahiyo Polepole ana hoja? Huyu bwana hana legacy hiyo.
Hata Marais waislam waliotaka kujiunga na OIC waliandamwa, na Rais ambae alitaka waislam wawe na kadhi wao waliandamwa, na huyu anaandamwa kwasababu tu wawekezaji ni waarabu.
 
Clarify!!!
Always make your opponents come to you. Ensure your bait is sweet enough to entice them to stick around. Once they’re in your grasp, you can manipulate them however you want.
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Naona umeamua kujitekenya kisha ukacheka mwenyewe
 
POLEPOLE....
POLEPOLE...
 
Always make your opponents come to you. Ensure your bait is sweet enough to entice them to stick around. Once they’re in your grasp, you can manipulate them however you want.
Sure!!; it is all about making them feel their importance while they are not.
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
ACHA UONGO WEWE KUNA WATU WAMESTUKA MPAKA KUMINYA MITANDAO, YOUTUBE NA FACEBOOK KABLA YA PRESS YAKE ILIKUWA IMEZIMWA. WATU WAMEPOTEZA MAMILIONI YA HELA ALAFU UNASEMA HAJAMSTUA MTU? LABDA WEW
 
Mpaka umeandika andiko lefu namna hii, wewe ni mmojawapo mlioshitushwa sana, laiti angeongea upuuzi wala usingepoteza muda wako wote kuyaandika haya, sorry for that rafiki
 
ACHA UONGO WEWE KUNA WATU WAMESTUKA MPAKA KUMINYA MITANDAO, YOUTUBE NA FACEBOOK KABLA YA PRESS YAKE ILIKUWA IMEZIMWA. WATU WAMEPOTEZA MAMILIONI YA HELA ALAFU UNASEMA HAJAMSTUA MTU? LABDA WEW
Hata saa mbovu usiidharau, katika masaa 24 inasema ukweli angalu mara 2 hata kama ni bovu. Mdharau mwiba mguu huota tende.
 
HUENDA LAKINI HII SAA MBOVU ILIYOKO MKONONI MWAKO NA KICHWANI MWAKO BADO INAONEKANA KUKOSA MAJIRA. VINGINEVYO ITAKUWA IMESTUKA AU KUSTULIWA NA POLEPOLE
 
Polepole anataka kuiaminisha Dunia kuwa Magufuli alikuwa sahihi kwa 100%, Kikwete 100%, Mkapa 100%, Mwinyi 100% na Nyerere 💯. Vinginevyo anataka kusema hakuwepo wakati wa Nyerere Mwinyi Mkapa Kikwete na Magufuli. Anataka kusema wakati yeye akiwa Katibu mwenezi wa CCM n mkuu wa wilaya na mbunge CCM ilikuwa vizuri sana. Anadhani hao wazungu hawana record.

Hakuna asiyejua kuwa polepole alikuwa miongoni mwa wale waliofadhaika saaaaaaana na kifo cha Rais wetu mpendwa. Tunajua mipango madhubuti ya Siri ilizimia ghafla.

Kifupi tuko macho, Samia 5 tena. CCM hii ni ileile tu, Kuna tofauti nyembamba sana kati ya Uganda, Rwanda na Tanzania, tofauti ni kule ni mtu huku ni chama.
 
Hiyo ni wewe Polepole haja mtaja Magufuli bali amejikita zaidi kwenye katiba na misingi ya Chama chake. Hata mimi nilifadhaika, hata wewe ulifadhaika, shida ya vijana wa kofia,Tshirt na vitenge mnaenda sana upepo. kitokea Rais kesho akasema nampongeza Polepole kwa kusimamia misingi ya Chama chetu, wooote mtaungana naye.. Hii ni nchi ya aina gani ambayo mtu hapaswi kuwa na mtizamo tofauti? Are we ROBOTS?????
 
Tofauti kati ya Katiba/Sheria na desturi ni nini?. Kuvaa suruali ni Sheria na kuvaa chupi ni desturi. Kuvaa kanzu ni Sheria na kuvaa balaghashia ni desturi tu lakini unaweza kuswali bila kuvaa kofia lakini huwezi kuswali bila kuvaa nguo inayositiri utupu. Amechanganga madesa.

He has failed to distinguish between need and want, shall and may.
 
Polepole ni mjinga mmoja hivi.Akili alikuwanazo wakati wa kukusanya maoni ya wananchi juu ya katiba mpya
Siri yake imefichuka, ni wale ambao hawakutaka kabisa Samia awe Rais baada ya kifo cha Magufuli, shame on them. Kwasababu hii kundi lao lote kinafahamika, amesaidia tu ku underline orodha yao. Nakumbuka yuko mtu alitaka bunge litengue vifungu vya Katiba ili....

Kumbe hata yule jamaa aliyekuwa anapinga uteuzi na akafukuzwa alitumwa tu kulikalia bomu.

Jina la mbwa tunalijua.
 
Tofauti kati ya Katiba/Sheria na desturi ni nini?. Kuvaa suruali ni Sheria na kuvaa chupi ni desturi. Kuvaa kanzu ni Sheria na kuvaa balaghashia ni desturi tu lakini unaweza kuswali bila kuvaa kofia lakini huwezi kuswali bila kuvaa nguo inayositiri utupu. Amechanganga madesa.

He has failed to distinguish between need and want, shall and may.
mimi siyo mvaa makobazi usiletee habari zako za kubinua makalio hapa, sijui na sihitaji kuzijua
 
Back
Top Bottom