Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

Hii picha hapo Chini ni ya watoto wa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S, Ali Al- Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain. Imam Hussain aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Waliposikia tu habari baba yao kuuwawa kikatili walitimua mbio huku wakilia. Yani ni simanzi siku ya Ashura.

View attachment 3406308

adriz Covax
Allah ndiyo aliwapiga picha?
 
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?

Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?

Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Hapo ndiyo umejibu hoja za polepole. Ccm bhana! Sasa udini unaingiaje hapa? Kwani Tanzania haijawahi kuwa na raisi muislam? Alijipitisha mwenyewe kugombea?
Hoja ni kwamba utaratibu wa ccm kumpata mgombea ulikiukwa! Badala ya kujibu hoja wewe unakatika mauno huku ukitaja UDINI kama hayawani??
 
Bado kajitekenya na kucheka mwenyewe?
 
mimi siyo mvaa makobazi usiletee habari zako za kubinua makalio hapa, sijui na sihitaji kuzijua
Kaka Humphrey ni kengele tu ambayo inalia baada ya kugongwa. Kuna watu wanaoigonga hiyo kengele ambao ni waoga hawataki kuonekana kwenye mwanga. Huwezi kulazimisha desturi kuwa sheria. Desturi inatumika pale tu inapompendeza yule anaeitumia. Kama Kuna mtu anataka always uteuzi wa wagombea uwe mwezi June basi kifungu hicho ashauri au kulazimisha kuwepo kwenye katiba mama ya CCM.

Zote hizo ni sababu tu za kuokoteza, ila sababu ya msingi ni ileile ya nani awe Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli. Wasukuma wametushitua kidogo, kumbe Nyerere alikuwa ana akili nyingi sana zilizopitiliza kuhusu wasukuma.
 
Hapo ndiyo umejibu hoja za polepole. Ccm bhana! Sasa udini unaingiaje hapa? Kwani Tanzania haijawahi kuwa na raisi muislam? Alijipitisha mwenyewe kugombea?
Hoja ni kwamba utaratibu wa ccm kumpata mgombea ulikiukwa! Badala ya kujibu hoja wewe unakatika mauno huku ukitaja UDINI kama hayawani??
Newton amesema kuwa kila kwenye reaction Kuna equal resistance inayokwenda kwenye opposite direction.

Maana yake ukisukuma sana na wewe utasukumwa sana. Ukipinga sana serikali utapingwa sana na serikali, ukipinga sana chama utapingwa sana na chama. Ukipinga sana waislam utapingwa sana na waislam kwa nguvu ileile uliyotumia kupinga.

Ukipanga kupindua serikali utapinduliwa na serikali kwa nguvu ileile unayotumia kutaka kuipindua. Hii ndiyo kanuni ya Isaac Newton kuhusu nguvu (force).
 
Bado kajitekenya na kucheka mwenyewe?
Tatizo la Humphrey amejikweza sana, amesahau kuwa hata Oscar Kambona alikuwepo kwenye harakati za kujenga TANU na kuleta Uhuru lakini alitimuliwa na Mwl Nyerere na kuishia kuwa mkimbizi uingereza.

Chanjo ya COVID-19: polepole alikuwa na haki yake Moja tu ya kukataa kuchanjwa, sana sana ikizidi sana na mkewe na watoto wake. Lakini hakuwa na mamlaka ya kushawishi wananchi wote wakatae chanjo.

Shule ya uongozi kwa umma: polepole alikuwa anaendesha vipindi bila kuwa na usajili (regulator). Ilikuwa haijulikani lini atafundisha nini lini, maana hakuna mtaala Wala hakufanya needs analysis kuona mahitaji na huhitaji ya elimu yake hiyo. Kwahiyo kuambiwa acha ilikuwa sawa.

Desturi ya chama: Katiba yetu inasema Tanzania ni nchi ya vyama vingi. Uchaguzi wa 2020 yeye akiwa Katibu mwenezi wa CCM alishiriki kwenye maamuzi ya kuwaengua wapinzani wote pamoja na kuwaingiza akina Halima mdee na wenzake bungeni kinyume na Katiba na desturi.

Uzoefu: Ni kinda, hana anaeweza kumfundisha mule, wakongwe akina makamba, pinda, sumaye, mongela, makinda, shein, Karume bado wapo

Mashaka: Nina mashaka polepole alikuwa anaufahamu mpango wa kuifanya Tanzania iwe kama Rwanda au Uganda huko mbele ya safari. Kuja kwa Samia kulivuruga kabisa mpango huo. Na hasira na mashaka yake yalianzia hapo. Na bado mpango huo upo kichwani kwake na wenzake ambao sijui ni akina nani.
 
Ukimsikia wanaopiga kelele za kutekwa watu wanaongezeka ujue sifa za watekaji na watekwaji zimeshafahamika. Walioko kwenye orodha ya kutekwa wanaofahamika na watakaowateka wanajulikana na sababu ya kutekwa na kuteka wanaifahamu wote. Kelele utakazozisikia ni zakujihami tu wasitekwe. Dawa ni kujiondoa kwenye orodha.
 
Bado kajitekenya na kucheka mwenyewe?
Yaani wajumbe wooooooote wa Mkutano Mkuu wa CCM hawana akili kuliko Polepole. Common sense anaagiza kumuona mtu kama huyo ni mwenye shida ya akili. Yaani wajumbe wote kwenye mkutono wameshindwa kugomea Samia na Nchimbi wasiteuliwe kuwa wagombea; basi hicho sio chama kama mtu mmoja (polepole) tu ndiye mwenye akili ya kujua zuri na baya. Na kama kulikuwa na watu wengi ndani ya mkutuno mkuu ambao idadi yao ingetosha kupinga uteuzi lakini walikaa kimya basi chama hicho kina walakini, vinginevyo polepole ajitafakari au ndugu zake wamnasihi aende akatibiwe haraka.
 
Hapo ndiyo umejibu hoja za polepole. Ccm bhana! Sasa udini unaingiaje hapa? Kwani Tanzania haijawahi kuwa na raisi muislam? Alijipitisha mwenyewe kugombea?
Hoja ni kwamba utaratibu wa ccm kumpata mgombea ulikiukwa! Badala ya kujibu hoja wewe unakatika mauno huku ukitaja UDINI kama hayawani??
Jiandaeni kwa 2030, huyu Mama ni project ya mwenyeziMungu mwenyewe, na ni pilot study ya dunia kwa viongozi wanawake ambao kwa miaka mingi wanaume na wanawake walishindwa kuwaamini kwa kiwango hiki. Hata Samia mwenyewe hakujua amekuaje Rais kama vile magufuli alivyokuwa anashangaa aliwezaje kuwa Rais wakati hakuwa mwanaCCM mpenda urais.
 
Project ya dunia inajipitisha yenyewe kugombea uraisi bila kufuata utamaduni wa chama chake?
Pilot study ya kuua watu?
 
Project ya dunia inajipitisha yenyewe kugombea uraisi bila kufuata utamaduni wa chama chake?
Pilot study ya kuua watu?
Kwahiyo Mkutano Mkuu haukumpitisha? Au polepole ndiye alipaswa kumpitisha?

Kuua watu ni survival of the fittest. Babu yangu (RIP) aliwahi kuibiwa solar panel yake ambayo ilikuwa ikimsaidia kupata mwanga, kuchaji simu yake na kuangalia Tv hasa taarifa ya habari na mpira. Alisikitika sana hadi kutoa machozi bila kupata majibu. Nilimtuliza kwa kumwahidi kumnunulia tena ingine. Siku niliyompa nyingine akasema maumivu niliyoyapata natamani kusia aliyeiba sola yangu ameuawa, lakini "dunia hii wanaostahili kuawa ni wengi kuliko wauaji", akimaanisha kuwa kuna watu wengi (kama wale walioiba solar yake) ambao wanastahili kuuliwa lakini wanakosekana watu wa kuwaua.

Sasa kama babu yangu alitamani mwizi wa solar yake auawe, je, jule ambae mkewe anatemea na mwanaume mwingine anatamani nini?, yule ambae amedhulumiwa kwenye biashara anatamani nini?, vipi yule kibaraka anaechochea mapinduzi? vipi wanachama wa CCM au Chadema wanaomwona mwenzao anawazuia wasigombee ubunge/udiwani/urais?

Kama kwenye kutekwa na kuuawa kuna pattern fulani ujue kuwa wanaouliwa na wanaua wanajuana na sababu wanaifahamu; hiyo ni survival of the fittest. dawa yake ni rahisi sana; ni acha unachokifanya, pambana hadi ushinde, kubali kushindwa au ungana nao.
 
Project ya dunia inajipitisha yenyewe kugombea uraisi bila kufuata utamaduni wa chama chake?
Pilot study ya kuua watu?
Rais mwanamke ni mbegu adimu ya dunia (world rare specie) inayostahili kumwagiliwa maji na kuwekewa mbolea ili itoe matunda na miche mingi itakayopandwa Afrika na dunia nzima. Usifikiri wewe ni rahisi kumchafua Rais mwanamke kimataifa; kwanza utajivunjia heshima wewe mwenyewe na kujitafutia anguko la kutisha. Dunia inakuona ni mwoga (coward) wa hali ya juu sana uliyeshindwa kupambana na wanaume wenzako akina Magufuli, Kikwete, Mkapa, mzee Mwinyi, Nyerere, Museveni, Kagame, Kenyata, nk. kwenye uwanja wa siasa, Kifupi kupambana na mwanamke hata majumbani na mitaani ni dalili ya udhaifu.

Fanya ufanyavyo huwezi kumchafua mwanamke popote. Mwanamke hachafuki.
 
Kumsifia mtu kwa jinsia yake ndo UCHAWA WENYEWE SASA
kwamba akiwa raisi mwanamke ndo asifuate utaratibu za kugombea?
Kesho utaamka na blabla za raisi muislam hapa. Kuna siku utajadili dini, kabila, urefu au ufupi wa rais nk ili tu uonekane CHAWA aliyenona kuliko wenzio
 
uchaguzi wa 2020 Magufili aligombea peke yake, na aliyetaka kugombea, Membe alinyimwa form na baadae alipohoji alifukuzwa uwanachama wa CCM na Humphrey akiwa Mwenezi wa chama. Kama Membe alihoji akafukuzwa namuona na Polepole akifukuzwa kama desturi ya CCM.

Desturi ipi?, maana CCM na Tanzania haijawahi kufiwa na mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania huko nyuma, hakukuwa na desturi ya kumpata Rais baada ya kufiwa na Rais, ndiyo maana Katiba ya nchi ilitumika kumpata Rais badala ya kutumia desturi ya chama. Polepole anachanganya madesa. Sasa hivi ndio tumetengeneza desturi ya kumpata Rais kama ikitokea tena Rais iliyeko madarakani ataondoka kwa sababu yoyote ile.

Kama anae mgombea wake amtaje tu na amwandae kwa 2030, na hii inaweza kusababisha kutekana sana kuhofia na kuhofiana.
 
ACHA UONGO WEWE KUNA WATU WAMESTUKA MPAKA KUMINYA MITANDAO, YOUTUBE NA FACEBOOK KABLA YA PRESS YAKE ILIKUWA IMEZIMWA. WATU WAMEPOTEZA MAMILIONI YA HELA ALAFU UNASEMA HAJAMSTUA MTU? LABDA WEW
Engine ya CCM ni kubwa sana mara 10,000,000 ya engine Polepole na wenzake zikiwekwa pamoja. Kama hata wazee kama Yusufu Makamba, Membe, Msindai, Lowassa, Sumaye, Kambona, Aboud Jumbe, Maalim Sharif, G55, Malecela, Salmin Amour na wengine wengi waliwahi kukalishwa chini sembuse Polepole na wenzake. Nadhani ameamua kupima kina cha maji kwa kutumbukiza miguu yakemwenyewe. Vyama rafiki kwa CCM ni vile vyama tawala vya China, Urusi, NKorea, Cuba, Frelimo, ANC, ZANU-PF. Sijui kama anajua hivyo walahi.
 
Hii picha hapo Chini ni ya watoto wa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S, Ali Al- Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain. Imam Hussain aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Waliposikia tu habari baba yao kuuwawa kikatili walitimua mbio huku wakilia. Yani ni simanzi siku ya Ashura.

View attachment 3406308

adriz Covax
Tujikumbe tena namna nchi na Rais anavyolindwa. Wote hawa wameapa kuilinda nchi na Rais. Ona wakuu wa kamandi walivyo imara.

View: https://youtu.be/n2TfxrXSmZg?si=duKJ8g0lgDrKxGnM
 
1111111111111111111111111111111111111111111111111111..1.jpg
 
Acha fix umestuka na ndiyo maana unahangaika hapa maelezo mengii kutetea kilichofanyika Dodoma.
 
Back
Top Bottom