Kwani mfumo wa China kwenye kuendesha nchi unafanana na huu wa hapa kwetu?Wanadhani huko China hakuna wapinga serikali
Heri watubuo na kuungama dhambi zao maana watamuona mwana wa AdamuHamdanganyiki!
Mchukueni Polepole basi atawasaidia kwenye No Reforms No Election yenu mana nyie kila anayemponda Samia ni rafiki haijalishi aliwatenda nini huko nyuma.
Hata Sabaya leo hii akimponda Mama tu basi mtasahau yoote aliyowatenda na kuanza kumshabikia.
Yaani CDM sasa hivi mnatengenezewa tu watu wa kuwashabikia. Tayari mmeshapewa Mpina, Gwajiboy na Sasa Polepole
Mfumo wa chama Cha kikomunisti Cha China unafanana vipi na huu wa CCM?Kinachotofautiana na China ni kuwanyonga hadharani wasaliti, wala rushwa na wabadhilifu wa mali ya umma, baaasi, vingine vyote ni kama China tu.
Lini aliwahi kutubu!?Heri watubuo na kuungama dhambi zao maana watamuona mwana wa Adamu
Ukileta ngebe na kukaa kwenye njia yao unapigwa mtama. mfanano mwingine ni kuwa Katiba inampa Rais madaraka makubwa kama china. Mfanano mwingine ni kwamba majeshi yetu mengi yamepata mafunzo China na wakomunisti wengine kama Korea na Cuba.Mfumo wa chama Cha kikomunisti Cha China unafanana vipi na huu wa CCM?
Hapa hakuna mfanano hata kidogo. Halafu inaonesha kuwa hata chama Cha kikomunisti Cha China kinavoendeshwa hujui.Ukileta ngebe na kukaa kwenye njia yao unapigwa mtama. mfanano mwingine ni kuwa Katiba inampa Rais madaraka makubwa kama china. Mfanano mwingine ni kwamba majeshi yetu mengi yamepata mafunzo China na wakomunisti wengine kama Korea na Cuba.
Nani anaibiwa na anaibiwaje?waakoloni waje watubu, walituibia thana aloo, na wanazidi kutuibia mpka kesho.
Huyu hapa atubu kwanza, hana nia njema na taifa letu na watoto wetu. Watoto wake wako marekani na mkewe yuko ubelgiji huku anatangaza kukinukisha vibaya sana. yaani watoto wetu waumizwe ili status ya ukimbizi wake iendelee kwa kigezo kuwa tz hakuna amani, watu wanaumizwa sana. Mafao ya ukimbizi yatakoma kama tz hakuna vurugu, Lissu na wenzake hawalitaki hilo. Hebu msikilize yeye mwenyewe.Heri watubuo na kuungama dhambi zao maana watamuona mwana wa Adamu
kwani mie sio mtu mbona mie nimeshtukaTangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa marufuku kufanya kazi za siasa? Anakumbuka kuwa wakati yeye akiwa mwenezi wa CCM wagombea wa upinzani walienguliwa? Anaijua Richmond na escrow?
Ni udini tu kama wenzake hana hoja zinazoihangaisha nchi na dunia hasa katika zama hizi za migogoro mikubwa ya Gaza, Ukraine, Somalia Sudan msumbiji Niger Nigeria Mali Burkina Faso, DRC, Hait, nk. Poor timing kwakuwa dunia nzima masikio yao Yako Gaza, Iran, Israel, Ukraine, Sudan, DRC....
Tujue kwanza kwanini kwanini baada ya kifo cha JPM kuna watu hawakutaka Samia awe Rais. Ilikuwa kwasababu ya nini? Maana yake walimkataa hata kabla hajawa Rais na kuonyesha kama ataweza au la.Kichaka anachofichwa Samia ni Udini tu, ni kama yeye ndio mwislam wa kwanza kuwa Rais.
Hatudanganyiki!
Humphrey na ndumilakuwili menzake wajikumbushe haya kutoka kwa JPMProject ya dunia inajipitisha yenyewe kugombea uraisi bila kufuata utamaduni wa chama chake?
Pilot study ya kuua watu?
View: https://www.instagram.com/p/DMc7IaVtObK/?utm_source=ig_web_copy_link
Mleta mada maboss wako bado wanamjadili hata waziri hana uwezo wa kutolea majibu issue ya pole pole
Wewe ndiye wahovyoo kabisa kuliko waliowahi kuwa wa hovyo.Shida ya makobazi wengi shule ndogo...kila kitu wao wanaweka udini mbele na ni kwasababu mtume wao aliwalemaza kuonekana kama dini yao inachukiwa
Mama Samia sio muislamu peke yake anaeongoza nchi hii hata waziri mkuu Majariwa pia ni muislamu mbona hakosolewi
Ukiweka udini pembeni hii nchi huyu mama imemshinda.na watanzania hawasemi raisi ajae ni lazima awe mkristu ata akiwa muislamu ni sawa tu lakini anatakiwa awe na uwezo wakutuvusha hapa tulipokwama
Huyu mama amekwama anatakiwa asaidiwe haraka.yuko tu pale kama pazia ila nchi inaongozwa na jakaya