Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

Anayo nguvu kubwa tu. Huoni akikaribia kuongea mifumo yetu ya internet inakuwa mizito!? Unafikiri ni bahati mbaya. Hizo ni nguvu alizonazo ambazo wewe huna .
Dah umenisanua, ndio maana naingia YouTube kufanya mambo yangu fulani inazingua. Watakuwa wamezimisha
 
Haifunguki
 
Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"
 
Pole pole ni mnafiki Sana. Huyu ndio alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli, Sasa hivi anajifanya
Kama Polepole anaweza kuua Chadema, basi Chadema kilijengwa kwenye misingi hewa na hakikustaili basi kuwa Chama cha siasa chenye Nia ya kuchukua dola!!!

Au ndiyo una mpromoti Polepole kijanja?
 
Tigo kwa hili nawapa big up, hapa ni kijijini lakini nampta Balozi kupitia facebook bila scratch!
 
Ambaye anamfahamu mwandishi wa habari kanjanja kwa jina Zungu, amwambie aache kuvuta bangi na ugoro!
 
Nyie majamaa sijui huwa mnataka nini sijui huwa mnajitambua, kwa hiyo kama alikosea kipindi hicho ndo hafai kuongelea maovu yanayoendelea sio

Wewe baba yako umemkosea mara ngapi na alikusamehe mara ngapi mpaka leo upo hapo, kama Polepole akili zimemrudia kwanini asisikilizwe kwa kuyaongea maovu yanayotendeka nchini wewe kama una maslahi na mama yako huyo mwendawazimu sema
Pole pole ni mnafiki Sana. Huyu ndio alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli, Sasa hivi anajifanya mwanademokrasia. Very stupid guy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…