mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,741
No r3forms No election is not practical.Polepole muhuni tu angekua mzalendo angesimama na no reforms no Election
Hii nchi imejaa wajinga wengi sanaTangu miezi mitatu iliyopita tumesoma humu Habari za kila aina
Mara mwezi ujao kuna mtu anatuaga, mara ooh kuna habari mbaya sana mwezi wa Saba
Hata mwezi wa nane waliandika kuwa mambo mengi yatatokea.
Ila hakuna anaejua kesho
Na hili Acha tusubiri nchi isimame maana siku zinaenda mbio sana
Wabongo wapuuzi wengi mno, tena utabiri ukiwa mbaya ndo wanakomaa nao Ila ukiwa mzuri wanawasema hao manabii ni machawa.Hii nchi imejaa wajinga wengi sana
Siku hizi kumeibuka mambo ya kuleta post humu utabiri wa sijui mchungaji fulani kasema hivi mara askofu kasema mwezi fulani nchii itasimama, na ujinga ujinga mwingi, ambao wanauamini kwa dhati yatatokea.
Huwa nachoka kabisa na akili za wabongo, bado sana hii nchi...
Huyu ni kilaza nashangaa watu wanamshangiliaPolepole Yuko overated! Hajui hata kwamba Nchi inaongozwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Nchi haiongozwi kwa Katiba ya CCM wala utamaduni wa CCM .
Rais Samia amepewa nafasi ya kugombea tena muhula mmoja kutokana na Katiba ya JMT.
Halafu Polepole ajue kwamba Rais Samia alishavuka ngazi ya Makamu wa Rais na asimlinganishe tena na akina Dr.Mpango.
Polepole alikurupuka kujiuzuru ubalozi na hana hoja yoyote ya msingi.
Chadema wangekuwa wanataka uchaguzi ungekuta tayari wameshamchukua Polepole na wale wengine, yn chadema hawajifunzi kutokana na makosa yao kama yale ya 2015, yn wao kila anayeipinga serikali wanamuona n mwenzaoSema watanzania ni rahisi sana kupumbazwa.
Huyo polepole kawekwa kimkakati yuko kwnye mission maalumu. Lengo kuu ni kuwasahaulisha kesi ya lissu na no reform no election. Na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kila mtu saivi anamuongelea polepole, ule moto wa lisu na no reform umeshakata.
Na wanajua watanzania ni watu wa kufuata mkumbo kwenda na trend, hapo jinamizi kubwa ni lissu na no reform yake na huu ni mkakati kudhoofisha
mtakuja kustukia polepole karudi kwny mfumo analamba uteuzi mnabaki mmashangaa
Chadema mkataeni polepole ni mtego huo
NB: Sina chama
Njoo bongo acha kupiga kelele ukiwa mafichoni dogoWakuu!
Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.
Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza.
Updates... Polepole
Utamaduni, desturi na katika ya Chama cha Mapinduzi Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa mwendokasi huu.
"Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"
, Salamu ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Kazi iendelee!' inamkiuka Mungu
"Ni Haki ya kila mmoja kugombea lakini haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi."
Umekuja na ropaganda za kizamani kweliSema watanzania ni rahisi sana kupumbazwa.
Huyo polepole kawekwa kimkakati yuko kwnye mission maalumu. Lengo kuu ni kuwasahaulisha kesi ya lissu na no reform no election. Na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kila mtu saivi anamuongelea polepole, ule moto wa lisu na no reform umeshakata.
Na wanajua watanzania ni watu wa kufuata mkumbo kwenda na trend, hapo jinamizi kubwa ni lissu na no reform yake na huu ni mkakati kudhoofisha
mtakuja kustukia polepole karudi kwny mfumo analamba uteuzi mnabaki mmashangaa
Chadema mkataeni polepole ni mtego huo
NB: Sina chama
Si kaongoka sasa!tunamkaribishe aje ajiaibishe tu maana na yeye katokea hukohuko.
Hoja ya kijinga hii turudi ujima upi? kwani lazima mchangie hoja? why jf ina wajinga hiviAMEPATIA!
... yaani tumechoka kabisa na watu wa aina yake, jamii ya POLPOT WA CAMBODIA, WAUWAJI WAKUBWA WANAOJIFICHA NYUMA YA UZALENDO FEKI KUTUTOA KWENYE BIDII ZETU BINAFSI ZA KUJIKOMBOA KIUCHUMI!
... HUYU NA GENGE LAKE LENGO LAO NI KUTURUDISHA KWENYE UJIMA ILI TUWE WANYONGE DAIMA NA KUWAABUDU MILELE NYUMA YA UPUUZI WAO WA ZIDUMU FIKRA ...!
NB: HATUTAKI NYERERE MWINGINE!
NYERERE ALIFANYA KAZI YAKE NA TULIIPENDA, ... SASA TUSONGE MBELE KISAYANSI ZAIDI!
... that was a HIT! ... THANK YOU FOR THE CONFIRMATORY SQUEL!Hoja ya kijinga hii turudi ujima upi? kwani lazima mchangie hoja? why jf ina wajinga hivi