Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
walienguliwa kama wagombea wengine alivyoenguliwa sababu mgombea anatakiwa kuwa mmoja tu, au hao wengine walienguliwa pia walikuwa na hivyo vyeo?Kupita sio kuchukua, walisimamishwa na chama kuwa wagombea?
Kumbuka Sumaye alikuwa PM wa Mkapa, kulikuwa na loophole kubwa ya kusimamishwa na chama, je alisimamishwa kama mgombea?
Mimi nimeandika na Hilo pamoja na hili:Hili ndio nimeondoka nalo mimi! Na nitalitunza kwa wivu mkubwa!
Kwani kila mtia nia alipitishwa kasoro wao?Walipitishwa?
Mbona Lowasa na Pinda walichukua fomu 2015 hizi taratibu hawakuzijua?Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Kwahiyo mama hakutakiwa kugombeaPolepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Utaratibu umeandikwa popote au ni whims tu za watu wachache....Maana kuwa makamu wa Rais na kuwa Rais ni vitu viwili tofauti kabisa, hata Mawaziri wanakuwa kwenye vikao vya maamuzi, lakini mwenye uamuzi wa mwisho ni Rais, so na wao hawatakiwi kugombea?Kasema Kwa tamaduni za Chama chao, mtu akishika nafasi hizo hawezi kuwa Rais Kwa sababu alishakuwa kwenye nafasi za kimaamuzi hivyo kwenye mijadala ya vikao vyao huonekana awawezi kuleta jambo jipya.
Walichukua fomu.Walipitishwa?
Hahahahaaaaaaaa!Mbona Sumaye, Lowassa alichukua fomu?
Kwa nini wasitakiwe kugombea urais wakati katiba inawaruhusu?Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Makamu wa Rais si sawa na Waziri wa kawaida..Utaratibu umeandikwa popote au ni whims tu za watu wachache....Maana kuwa makamu wa Rais na kuwa Rais ni vitu viwili tofauti kabisa, hata Mawaziri wanakuwa kwenye vikao vya maamuzi, lakini mwenye uamuzi wa mwisho ni Rais, so na wao hawatakiwi kugombea?
Hakusema hawatakiwi kugombea, ila Kwa tamaduni zao si rahisi kupendekezwa kugombea.Kwa nini wasitakiwe kugombea urais wakati katiba inawaruhusu?
Elewa unachoelewawalienguliwa kama wagombea wengine alivyoenguliwa sababu mgombea anatakiwa kuwa mmoja tu, au hao wengine walienguliwa pia walikuwa na hivyo vyeo?
Ukishasema si rahisi maana yake inawezekana ila si rahisi, so what is his point?Hakusema hawatakiwi kugombea, ila Kwa tamaduni zao si rahisi kupendekezwa kugombea.
CCM Iliwateua kugombea!? Nadhan hiyo ni sawa Kipindi cha pili cha jakaya kuna jamaa aitwae shibuda pia alichukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM, japokuwa CCM wenyewe Wana utaratibu wa kumwachia incumbent amalizie term ya pili...so technically,it is not written anywhere but it is there in their Traditions.Anajitoa ufahamu Polepole
I think his point is one of the named office holders managed to sail through without being challenged by other interested members by foul play .Ukishasema si rahisi maana yake inawezekana ila si rahisi, so what is his point?
Inaonekana kulikuwa na mpango wa kutompitisha ndiyo maana akawashtukia na propably ni Kikwete alimpa maarifa. Lakini hata akifanikiwa utawala wake utakuwa mgumu sana sana kwa sababu wengi hawampendi.Samia anaforce tu kwa sababu ana mamlaka lakini yule mama hapendeki iwe ni ndani ya chama ama nje ya chama
Spika, waziri mkuu, makamu ,Mmoja au wawili wanaunga mkono juhudi za kaka😂😂Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
But that is a different point, about an individual, not about the offices of the VP, PM, Speaker, etc and their officeholders .I think his point is one of the named office holders managed to sail through without being challenged by other interested members by foul play .