GE2025 Humphrey Polepole: Kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu, au Makamu wa Rais hutakiwi kugombea urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Yes, Hii contradiction ndio imekuwa msingi wa uhai wa CCM, it is strategic ambiguity

kwa nini anamuumbua hivi? Polepole anamini Samia hana uwezo wa kiuongozi (Msingi wa hoja yake ulianza aliposema, Nyumba iko kama haina mwenyewe, Hili ni tusi directly kwa Uongozi wa Samia and no one kwenye kambi ya Samia ataweza kulijibu).

Imani ya Polepole, Bashiru na Wajamaa hasa wa kiitikadi aliowainua Magufuli, they Believe in Strong leaders, in terms of Authorities.

Baadhi ya Wapinzani wa Samia waliotoka mbele kama Gwajima na Polepole, wanataka kutumia njia za Kimarxist, Use force to remove the existing leadership, Gwajima ameanza kufanya lobbying na Incitement kwa Vyombo vya Dola, Polepole soon ataanza kuchochea maandamano ya Umma (Sijui atatumia njia gani, but may be kama wataweza Kuhijack Harakati za Chadema)
 
Hayo yote nayaelewa.

Sijasema Polepole hana strategic ambiguity.

Ninasema it is a contradiction nonetheless.

Kwa watu wanaoangalia hoja kimsingi, kifalsafa, kidhahania, bila euphoria ya hero worship wala chuki binafsi dhidi ya mtu, na kwa kina bila kujali Machiavellian politics, hata kama Polepole ana points (which he does) bado contradiction ipo pale pale.

Polepole anasimamia nini?

Anasimamia chama kuongozwa kwa utamaduni?

Kama anasimamia chama kuendeshwa kwa utamaduni, mbona utamaduni wa chama ni kumuheshinu mwenyekiti na kumaliza tofauti katika vikao vya ndani?

La, kama anapinga utamaduni, kwa nini anasema mambo ya CCM inaendeshwa kwa utamaduni?

The contradiction stands regardless of the Machiavellian machinations.
 
Je Katika ya CCM inasemaje ikitokea Mgawanyiko wa Wajumbe Wa Kamati kuu ya CCM,

Upande mmoja ukasema Samia ni mgombea na upande mwingine wenye nguvu almost equally ukasema Utaratibu urudiwe (This is hypothetical scernario )
 
Je Katika ya CCM inasemaje ikitokea Mgawanyiko wa Wajumbe Wa Kamati kuu ya CCM,

Upande mmoja ukasema Samia ni mgombea na upande mwingine wenye nguvu almost equally ukasema Utaratibu urudiwe (This is hypothetical scernario )
Sijui katiba yao inasemaje ila kimantiki hapo kwa kuwa hakuna majority itabidi utaratibu urudiwe.

Samia alikuwa hana sababu ya kuharakisha uteuzi vile. Angefuata utaratibu tu, angepata hata mtu wa kumpinga ndani ya chama, kama alivyofanya Kikwete na Shibuda. Angepita, kusingekuwa na huu mgogoro wa nomination.

Lakini she is so insecure akaona ulazima wa kuharakisha na kulazinisha.

Mtu mwingine aliyemponza ni mtu mzima ovyo Kikwete.

Hawa watu walikuwa na power zote za incumbency, waliweza kupata nomination bila tatizo, na CHADEMA ndiyo washajitoa hivyo CCM wannashinda tu.

Sasa hivi hata Samia akiwa rais ataonekana ni rais illegitimate aliyelazimisha nomination ya CCM.
 
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.

Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Kwa mujibi wa polepole,. Mchakato wa kupata mgombea wa kiti cha raisi kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi umenajisiwa, hivyo wanahitaji kujisafisha na kuanza mchakato upya, ili wapate legitimacy ya kwenda kwa wanachi kuomba kura. Bado kazi ngumu kweli, reforms sio kwa wapinzani tu, hadi ndani ya chama tawala.
 
katika video za tukio hilo inaonesha JK alijua changamoto ya jambo lao kisheria na pia Samia alikuwa na hofu ya kufanya makosa ya kiufundi, Je inawezekana walijua haya yatokea, na wakina Polepole waliokuwa wanadocument kila uvunjifu wa Utaratibu walijipanga kumkabili Rais wa sasa?

Nimsikiliza Polepole kwa kiwango kikubwa anaamini anammudu Samia kama mtu, ila target yake kubwa ilikuwa ni kushambulia upande wa Kikwete
 
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.

Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Ki chama ina weza kuwa hivyo lakini wamekubali na hakuna alopinga.

Kama yupo aitishe mkutano wa halmashauri kuu na kuzungumzia hilo.
Katiba ya serikali haina vipengele hivyo.
Chama kiki chagua mgombea serikali inakubali.
Samia alipitishwa kwenye mkutano muu wa chama.
 
ujasema fomu ya chama.Au na wewe ulikuwa kwenye kufungiwa internet ufahamu aliyosema kasi kasi
 
Yani sheria zinaweza kuwa ubao wa chaki
 
Kikwete mwenyewe ukimsikiliza alikuwa anakubali kuwa wamefanya kabobo pale.

Walikuwa wanajiona wao wanakimikiki chama na hakuna mtu atakayeweza kupinga.

Nilikaa na Dr. Diallo akasema this will backfire on them. Hata mimi nikasema kwa CCM gani, hii hii au nyingine?

Lakini Polepole amem prove Dr. Diallo right.
 
Let wait and see kama Polepole ameongoza njia au amejitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…