Nita tafuta hatma ya yule wa mwendazake kwanza😂Sawa Ila Mimi ninavyo fahamu hapa Kuna polepole watatu
1. Yule polepole kipenzi Cha watanzania wa tume ya katiba mpya. (Warioba)
2. Yule polepole wa mwenda zake alieikana katiba.
3. Na huyu wa sasa mwalimu wa shule ya viongozi.
Hawa polepole watatu wakikutana watapigana mpaka watoane roho,Bora tu tumuombee wasikutane kabisa.
Unaa wa viwango vya lumumbaWala kipindi hakina shida.
ila shida ni huyo muendesha kipindi kwanini hakuanzisha kipindi ndani ya miaka 6 iliyopita?
kwanini iwe sasa?
Ameshaanza kuchanganya Dini na Siasa naona hapao anapiga siasa anapiga na Mathayo 🤣🤣🤣Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Humphrey Polepole amesema hayo kupitia kipindi cha Shule ya Uongozi ambapo alisema ni kipindi kinachofanya kazi ya kusema ukweli, jambo ambalo linaendana na kauli maarufu ya Chama Cha Mapinduzi inayosema "Nitasema kweli daima, fitina kwangu ni mwiko". Amesema wale watakaotaka kuruka na yeye kwenye mtandao wajue kwamba sio viongozi na wala hawapo katika mamlaka, kwa sababu yeye anafanya kazi nzuri ya kusema ukweli.
View attachment 1970501
Kwakuwa Polepole ni ccm na wao ni ccmmbona sehem nyingine TISS wanaletaga figisu hadi jambo linashindikana kwann washindwe kwa haka kakipindi??Au wanamkono wao hapo..wizara ya habari na Tcra nao wapo kimya.Mama anahujumiwaaaaaaaaaaaaaa
Ili wawe wanapata kibali kwanzaAtasababisha itungwe sheria dhidi ya wanaofundisha mtandaoni
wote ni waovu hakuna msafi ni rahisi sana mtu mchafu kuzimwa anakuwa hana confidence ya kuresist forceHaka kajamaa kanatumiwa ni timu fulani, katageuziwa kibao hakatoamini. TII MAMLAKA! hususani kama wewe ni CCM kwakua wote ni waovu na wezi.