GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni kweli kama mitandao inazimwa zaidi ya masaa 3 kwasababu yako hii ni kiashiria juu ya hofu yao kwako. Tunajua hivyo lakini we umejitoa hata ukiacha haisaidii tena, kimsingi tuko na wewe na sasa tuko crossways. Lolote hata ukisema sahivi wengi wako tayari dhidi ya hawa masultani uchwara.

Alutacontinua
 
Mnaanza kumjaza kama ilivyokuwa kwa Mdude na sasa amesahaulika. Sisi wabongolala ni makunguru kutwa kukimbiza mbawa zetu.
 
Eti namtegemea Mungu.
Wewe shetani pamoja na kundi lenu lote likiongozwa na Jiwe enzi zenu ndipo kipindi ambacho miili mingi iliokotwa beach ikielea.
Watanganyika tusiwe wasahaulifu.
Huyu mbwa koko ndiye waliyekaa kitako na Bashite wamuue Lissu
Kama ajielewi si muachane nae tu, mnafunga mitandao kwa mtu hana athari yoyote kwenu,kweli?
 
Kiasi kikubwa utakuwa hujamsikiliza kwa sehemu kubwa maelezo y

Kiasi kikubwa utakuwa hujamsikiliza kwa sehemu kubwa maelezo yake
Tapeli akikosa anachotaka mara nyingi huwa mnyenyekevu iliaje tena awamu ya sita ilikuwa mbaya sana kwa wavuvi wafanyabishara wanasiasa ajira huyu alikuwepo ndani hata lisu alitoa taarifa anafatiliwa alikuwepo ndani atuqmbie kwanza nanialimpiga lisu risasi?
 
Kama ajielewi si muachane nae tu, mnafunga mitandao kwa mtu hana athari yoyote kwenu,kweli?
Kuna vijana wa hovyo na wazee wa hovyo hawajui kuchambua wayaonayo mtandaoni.
Leo hii kila anachoona mtandaoni atajua ni kweli. That's why tumefunga.
Karne hii mtu mzima kabisa anadhani ile video ya Brian Decon ni real Jesus.
 
Ni kweli kama mitandao inazimwa zaidi ya masaa 3 kwasababu yako hii ni kiashiria juu ya hofu yao kwako. Tunajua hivyo lakini we umejitoa hata ukiacha haisaidii tena, kimsingi tuko na wewe na sasa tuko crossways. Lolote hata ukisema sahivi wengi wako tayari dhidi ya hawa masultani uchwara.

Alutacontinua
Amekabiwa juu sana

Kwa mbinu zilezile alizoshabikia enzi za jiwe

Muosha huoshwa
 
Sa100 ni kiongozi dhaifu na wa hovyo, ila bado anakomaa aendelee kusalia madarakani...kwa lipi hasa?!
Na machawa kwakuwa yanapambania matumbo yao utayasikia 'sa100 mitano tena, anaupiga mwingi, hana deni'

Uongo mtupu wa mchana kweupee!
 
Back
Top Bottom