GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katubu,anahoja na asikilizwe!
Sijawahi kumsikia hatasiku moja tatizo hataki imani nyingine ikiongoza hakuna kipindi wameumizwa kama wakati wao nawao ndio waanzilishi wa kuwaambia vyombo vya dola na wananchi kuwa wapinzani ni maadui. Leo mnamwita shujaa?
 
Mkishindwa hoja nakimbilia matusi. Inachoamini wewe sio ninacho amini mimi kama unatetea ujinga kwasababu unatiwa nahuyo mwizi niwewe msegneee wewe
Tuliza na bana wezere taratibu huku polepole sindano inazama
 
Kama kabla hajaenda cuba aliwasumbua vile je sasa ambavyo amesharudi cuba atawapelekea moto.
 
Yeye ndio alikuwa anaongea na kushangilia yaliokuwa yanatokea piayeye ndio anataka tumuone malaika nashujaa ilikujisafisha yeye hajawahi kuwa mbaya hii nibaada yakun'yany'wa silaha
Weka ushahidi mkuu
 
Tuliza na bana wezere taratibu huku polepole sindano inazama
Akuzamishie wewe wewe yeye wote mazuzu nchi inakwenda tuwaache naudini wenu wakati ananunuq wapinzani na kuwapa uwaziri ndio ulikuwa uongozi bora mnanuka kama choo cha walevi
 
Akuzamishie wewe wewe yeye wote mazuzu nchi inakwenda tuwaache naudini wenu wakati ananunuq wapinzani na kuwapa uwaziri ndio ulikuwa uongozi bora mnanuka kama choo cha walevi
Napenda unavopandisha sukari ukimsikia polepole
 
Napenda unavopandisha sukari ukimsikia polepole
Nipandishe sukari kwa mtu ambae hana madaraka uongo matapeli hatutaki . Anapayuka uongo nautapeli wake walengo lakidini nchi mama anaiongoza safiii maneno yanabakia mtandaoni nawewe unafaidika kutukana mimi nafamilia yangu tupika nakula ulinzi upomadhubuti tunalala nchi imetulia mama anaiendesha safii
 
Kuna vijana wa hovyo na wazee wa hovyo hawajui kuchambua wayaonayo mtandaoni.
Leo hii kila anachoona mtandaoni atajua ni kweli. That's why tumefunga.
Karne hii mtu mzima kabisa anadhani ile video ya Brian Decon ni real Jesus

Kuna vijana wa hovyo na wazee wa hovyo hawajui kuchambua wayaonayo mtandaoni.
Leo hii kila anachoona mtandaoni atajua ni kweli. That's why tumefunga.
Karne hii mtu mzima kabisa anadhani ile video ya Brian Decon ni real Jesus.
Unaweza kumpuuza Polepole lkn huwezi kupuuza anachoongea.

Hii ni kwa wenye ubongo tuu watanielewa.

Hata maneno ya wendawzimu yanabeba info nyingi yuza maana na muhimu. Sembuse HP!
Au niongeze sauti kwa sababu vilaza kama nyie bila kurudia rudia ubongo hauambulii kitu.
 
Nipandishe sukari kwa mtu ambae hana madaraka uongo matapeli hatutaki . Anapayuka uongo nautapeli wake walengo lakidini nchi mama anaiongoza safiii maneno yanabakia mtandaoni nawewe unafaidika kutukana mimi nafamilia yangu tupika nakula ulinzi upomadhubuti tunalala nchi imetulia mama anaiendesha safii
Una uhakika wakupata mlo leo?Umekula?
 
Back
Top Bottom