GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hilp Genge analodai polepole kwamba lipo linaloteka watu na kuwapoteza Je ni kwa maslahi ya nani? na ili iweje?
Je CCM chama tawala linalitambua genge hilo? Kama ndiyo, Je wamechukua hatua gani?
 
Kwanini unataka majibu toka kwa polepole tu ya lissu. Ni yeye peke yake alikuwa anahudumu chini ya Magufuli? Wengine huwaoni? Tena walikuwa na vyeo vikubwa kuliko yeye mpaka leo, kwanini huwaombi hao majibu ya nani alimpiga Lissu risasi?
 
Yeye ndio alikuwa anaongea na kushangilia yaliokuwa yanatokea piayeye ndio anataka tumuone malaika nashujaa ilikujisafisha yeye hajawahi kuwa mbaya hii nibaada yakun'yany'wa silaha
 
Yeye ndio alikuwa anaongea na kushangilia yaliokuwa yanatokea piayeye ndio anataka tumuone malaika nashujaa ilikujisafisha yeye hajawahi kuwa mbaya hii nibaada yakun'yany'wa silaha
Katubu,anahoja na asikilizwe!
 
Kweli kuimba kupokezana, Polepole enzi za dhalim Magufuli alikuwa anafurahia watu kutekwa na kuumizwa sasa yeye leo hii anawindwa kama digidigi kudadeq !
Wakiwa kwenye madaraka na mifumo ya ulaji wanasahau kabisa kuwa yana mwisho wake!! Mlioko kwenye madaraka tengenezeni mifumo ya haki kwa kila moha kwa vizazi vyote kwa watu wote. Yanaweza yasikufike wewe na watoto wako ila wajukuu na vitukuu vyako vikaja kuteseka bado. Tendeni haki kwa kuweka mifumo ya haki.
 
Yeye ndio alikuwa anaongea na kushangilia yaliokuwa yanatokea piayeye ndio anataka tumuone malaika nashujaa ilikujisafisha yeye hajawahi kuwa mbaya hii nibaada yakun'yany'wa silaha
Tuliza kalio sindano ya polepole ikuingie,
 
Tuliza kalio sindano ya polepole ikuingie,
Mkishindwa hoja nakimbilia matusi. Inachoamini wewe sio ninacho amini mimi kama unatetea ujinga kwasababu unatiwa nahuyo mwizi niwewe msegneee wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…