Sijawahi kumsikia hatasiku moja tatizo hataki imani nyingine ikiongoza hakuna kipindi wameumizwa kama wakati wao nawao ndio waanzilishi wa kuwaambia vyombo vya dola na wananchi kuwa wapinzani ni maadui. Leo mnamwita shujaa?Katubu,anahoja na asikilizwe!
Tuliza na bana wezere taratibu huku polepole sindano inazamaMkishindwa hoja nakimbilia matusi. Inachoamini wewe sio ninacho amini mimi kama unatetea ujinga kwasababu unatiwa nahuyo mwizi niwewe msegneee wewe
Polepole sio dogo..Huyu dogo awe careful bongo siyo ulaya
Nimemuona hata mwanaharakati huru Cyprian Majura Musiba nae anaomba reforms ziwepo Lumumba baada ya kuchezea panga kwenye uteuzi.Kweli kuimba kupokezana, Polepole enzi za dhalim Magufuli alikuwa anafurahia watu kutekwa na kuumizwa sasa yeye leo hii anawindwa kama digidigi kudadeq !
Weka ushahidi mkuuYeye ndio alikuwa anaongea na kushangilia yaliokuwa yanatokea piayeye ndio anataka tumuone malaika nashujaa ilikujisafisha yeye hajawahi kuwa mbaya hii nibaada yakun'yany'wa silaha
Wanakuja na vieitiiii kuwa makiniHumphrey Polepole: Kuna majaribio yakutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta
View attachment 3426538
Kwamba hakuwepo awamu ya tano?au?Weka ushahidi mkuu
Akuzamishie wewe wewe yeye wote mazuzu nchi inakwenda tuwaache naudini wenu wakati ananunuq wapinzani na kuwapa uwaziri ndio ulikuwa uongozi bora mnanuka kama choo cha waleviTuliza na bana wezere taratibu huku polepole sindano inazama
Napenda unavopandisha sukari ukimsikia polepoleAkuzamishie wewe wewe yeye wote mazuzu nchi inakwenda tuwaache naudini wenu wakati ananunuq wapinzani na kuwapa uwaziri ndio ulikuwa uongozi bora mnanuka kama choo cha walevi
Nipandishe sukari kwa mtu ambae hana madaraka uongo matapeli hatutaki . Anapayuka uongo nautapeli wake walengo lakidini nchi mama anaiongoza safiii maneno yanabakia mtandaoni nawewe unafaidika kutukana mimi nafamilia yangu tupika nakula ulinzi upomadhubuti tunalala nchi imetulia mama anaiendesha safiiNapenda unavopandisha sukari ukimsikia polepole
Kuna vijana wa hovyo na wazee wa hovyo hawajui kuchambua wayaonayo mtandaoni.
Leo hii kila anachoona mtandaoni atajua ni kweli. That's why tumefunga.
Karne hii mtu mzima kabisa anadhani ile video ya Brian Decon ni real Jesus
Unaweza kumpuuza Polepole lkn huwezi kupuuza anachoongea.Kuna vijana wa hovyo na wazee wa hovyo hawajui kuchambua wayaonayo mtandaoni.
Leo hii kila anachoona mtandaoni atajua ni kweli. That's why tumefunga.
Karne hii mtu mzima kabisa anadhani ile video ya Brian Decon ni real Jesus.
Una uhakika wakupata mlo leo?Umekula?Nipandishe sukari kwa mtu ambae hana madaraka uongo matapeli hatutaki . Anapayuka uongo nautapeli wake walengo lakidini nchi mama anaiongoza safiii maneno yanabakia mtandaoni nawewe unafaidika kutukana mimi nafamilia yangu tupika nakula ulinzi upomadhubuti tunalala nchi imetulia mama anaiendesha safii
Huwezi kuwa upande sahihi ukawa njaa au hufam Mungu anashusha barakaUna uhakika wakupata mlo leo?Umekula?