Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa


If you attack a king, you must kill him…


Waenezi wa UVCCM mikoa wakuchora tuuu…. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hukuyasema haya wakati WA marehemu? Mbona ndiko ukabila ulishamiri? Ukitoka tutakupa bidhibiti jinsi ukabila ulivyo shamiri wakati WA Raisi aliye pita. Acha dharau,tunajua yakuuma Mama kuwa Raisi.
 
Mbona hukuyasema haya wakati WA marehemu? Mbona ndiko ukabila ulishamiri? Ukitoka tutakupa bidhibiti jinsi ukabila ulivyo shamiri wakati WA Raisi aliye pita. Acha dharau,tunajua yakuuma Mama kuwa Raisi.
Jibuni hoja ya Polepole
 
Mkuu, hoja si alifanya nn hoja Ni kuwa je uchifu upo?? Tujadili hoja, na manufaa yake tuache kujadili mtu, au mtoa hoja,... Na tabia ya the thinker hujadili hoja si mtu..
 
Uchifu ni mambo ya kimila yasiyohusika na uongozi wa kiserikali,sasa yatalwta shida vipi wakati hadi kesho ndoa za kimila zinatambulika?

Mbona kwenye uaposho wa Rais huwa tunaona wanahusika?
 
Mkuu sijui Kama unalielewa neno mtemi, au umeliishi, ila ukifanya watu wakawa watemi ntakwambia Jambo 1 tu, tunarudi kwenye ukabila ambao haujawahi kushuhudiwa,

Kuilinda Amani Ni ghalama ndogo Sana kuliko kuipoteza na kuja kuitafuta.. [emoji10]
 
Ikupendeze Mhe. POLEPOLE, Mhenga mmoja wa Kuitwa Uncle JJ/ Kanumba aliwahi kunogesha msemo mmoja wa waneni kwamba "Ikivuma Sana... ikavuma Sana... Vuu... Vuu.. vuuu... Vuuu... HUPASUKA"
 

Perpendicular Na Mama Yenu! Huyu jamaa inabidi aondolewe Ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…