Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa

Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa

Nyinyi ndo mmechanganyikiwa! Nambie hapo ulipo chifu anawajibika nini kwako? Kama sio ujinga ujinga tu! Nafaida ya Chifu ni nini? Kutumia machifu kupata ushawishi wa kisiasa ni ujinga!
Kwahiyo uchifu ni ujinga ila kuisigina katiba Ili Mwendazake atawale mpaka kiu yake iishe ni sawa?
 
Mimi naamini malaya ni yule anayetafuta umaarufu wa kisiasa kwa kutumia uchifu! Ujinga wa hali ya juu!
Nyinyi ndo mmechanganyikiwa! Nambie hapo ulipo chifu anawajibika nini kwako? Kama sio ujinga ujinga tu! Nafaida ya Chifu ni nini? Kutumia machifu kupata ushawishi wa kisiasa ni ujinga!
 
Hivi Tanzania mtu pekee aliyekuwa na akili timamu ni mwalimu pekee?
This is how low self esteem baadhi ya mabumunda kama wewe mlivyokua

Ready to insult everyone ili tu ujisikie kuwa hauko peke yako
 
Vile haya mambo yana imani zake pia ni muhimu kuzingatiwa.

Machifu wengi kwa imani zao walimwaga damu za watu walidhulumu sana watu, ile laana ipo inatembea.

Sometimes polepole anaongea ila tunamsagia
 
Sijakuelewa mkuu
Mkuu na hicho ndicho nlikuwa nakiwaza kuwa u mtanzania halafu hujua faida ya kuwa na mwaasisi wa taifa hili la tz, faida 1 Ni lugha yaan kwa Sasa Kama kunaukombozi mkuu tulio nao Ni kuwasiliana Kama taifa kwa lugha ya kiswahili, umewahi kuwaza kuwa hlo Jambo lilitokeaje??[emoji15]
 
Uchifu ni mambo ya kimila yasiyohusika na uongozi wa kiserikali,sasa yatalwta shida vipi wakati hadi kesho ndoa za kimila zinatambulika?

Mbona kwenye uaposho wa Rais huwa tunaona wanahusika?
Ukabila pia ujue hautambuliki kiserkali ila upo! Endelea kuunga mkono wewe unadhani kama vikabila vidogo hapa Tanzania si vitabaguliwa sana maana makabila makubwa yatahodhi ajira na nafasi nyeti kwa kubebana!
 
Polepole anchoshindwa kuelewa ni kuwa hata mfumo wa utawala unaotuongoza sasa tumerithi mfumo wa kichifu, kwamba Rais hapingwi/hakosolewi kwa namna yoyote...
 
Mkuu na hicho ndicho nlikuwa nakiwaza kuwa u mtanzania halafu hujua faida ya kuwa na mwaasisi wa taifa hili la tz, faida 1 Ni lugha yaan kwa Sasa Kama kunaukombozi mkuu tulio nao Ni kuwasiliana Kama taifa kwa lugha ya kiswahili, umewahi kuwaza kuwa hlo Jambo lilitokeaje??[emoji15]
Kiswahili ndiyo Kimeleta maendeleo gani?
 
Salaam Wakuu,

Polepole ameandika hivi:

"Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa? Nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila,usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa taifa".
20220202_094315.jpg

MY TAKE:
Urais ni Taasisi. Polepole hauna ubavu wa kushindana na taasisi.

Samia ni Mwenyekiti wa Chama cha CCM, na anachofanya Mwenyekiti ndio maamuzi ya Chama. Polepole huwezi shindana na Chama Ukanshinda.
 
Hua nashangaa sana wao muona kama malaika kwanza sera zake za ujamaa zimeharibu sana hili taifa kutuletea katiba ya hovyo iliyozaa wanafiki na kujipendekeza iliyoleta mzigo katika nchi uliona wapi muungano wa serikali 2 moja ikiwa kupe...
Sasa nyingi wenye akili mbona mmshindwa kubadili katiba hiyo mbaya? Miaka zaidi ya 20 Mwalimu Nyerere hayupo duniani wenye akili mmeshindwa kubadili hiyo katiba mbovu?

Nadhani Nyerere alikuwa na akili nyingi kuliko nyie mlio jaa mapambio tu halafu vitendo zero. Kenya jirani zetu walikuwa na katiba mbovu kama hii ya Tz lakini wao waliweza kubadili katiba yao miaka zaidi ya 10 iliyopita ila sisi wadanganyika tunaojidai tuna akili kuliko Nyerere tumeshindwa kubadili hiyo katiba.

UNAFIKI WA TZ UPO KUANZIA CMM HADI VYAMO VYOTE VYA UPINZANI NA NDIYO MAANA HIYO KATIBA HATUTAIPATA LEO WALA KESHO MPAKA TUTAKAPOACHA UNAFIKI NA KUSIMAMIA IKIBIDI KUUFIA UKWELI NA HAKI.
 
Vile haya mambo yana imani zake pia ni muhimu kuzingatiwa.

Machifu wengi kwa imani zao walimwaga damu za watu walidhulumu sana watu, ile laana ipo inatembea.

Sometimes polepole anaongea ila tunamsagia
Mimi najua sana issue za machifu wengi! Ni uchawi,kafara ili kuwafurahisha machifu na mazimu! Ndo maana unasikiaga kila siku mauaji na kukatwa viungo ujue ni mambo ya kimila na ujifu a.k.a uchawi!
 
Yuko sahihi Uchifu unatusaidia nini?,Nadhani hashindani na taasisi ya Uraisi yeye katoa maoni yake,ajibiwe kwa hoja au risasi kama walivyozoea
 
Back
Top Bottom