The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Makabila yanatambulika ila ukabila ndio unapigwa vita..Ukabila pia ujue hautambuliki kiserkali ila upo! Endelea kuunga mkono wewe unadhani kama vikabila vidogo hapa Tanzania si vitabaguliwa sana maana makabila makubwa yatahodhi ajira na nafasi nyeti kwa kubebana!
Machifu wanatambulika kwenye jamii kama nilivyoyaja hapo juu ila hauko kwenye mfumo rasmi wa uongozi.
Sasa kuna shida gani hapo? Aukwa vile msiyempenda Kaja 😃😃😃