Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukoooo kwenu huko kulikokosa watu. Huku keingine tunamuona boya na kilaza aliyepitilizaHuyu jamaa yuko smart sana.
Acha wivuHukoooo kwenu huko kulikokosa watu. Huku keingine tunamuona boya na kilaza aliyepitiliza
Ndo mtu pekee anayejipambanua kwa kukemea na kuwaongelea wananchi! Na kama CHADEMA wataweka pembeni itikadi zao wamkaribishe huyu bwana Polepole agombee Urais! Maana hapo CHADEMA sijaona mtu anayejipambanua kama huyu bwana!Huyu jamaa yuko smart sana.
"Nchi yetu ina wakristo na waislamu, ikitokea mvua imechelewa kiongozi wa serikali huwa anawaomba wakristo kanisani wakaombe na waislamu msikitini wakaombe mvue zinyeshe, lakini huwezi kusikia kiongozi wa serikali akiwaomba washirikina eti wafanye namna mvua inyeshe"Humphrey Polepole amesema kuwa
"Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila, usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa taifa"
"Yapo maeneo uchifu ulishaondoka,haupo. Tulishakubaliana uchifu ni ukoo wenu, mna kiongozi wa ukoo mnazungumza mambo yenu binafsi ya kifamilia leo serikali ikizungumzia uchifu hawa nao wataomba kiongozi wao (wa ukoo) atambulike na apate nafasi huko serikalini"
"Mwalimu Nyerere alikataa jambo hili (uchifu), lina faida gani. Uchifu unataka kutuibulia zile hisia kwamba tuna ukabila kama hakuna wazee wataliona hili jambo, basi mawe yataona"
"Nchi yetu ina wakristo na waislamu, ikitokea mvua imechelewa kiongozi wa serikali huwa anawaomba wakristo kanisani wakaombe na waislamu msikitini wakaombe mvue zinyeshe, lakini huwezi kusikia kiongozi wa serikali akiwaomba washirikina eti wafanye namna mvua inyeshe"
"Kwenye shughuli za serikali ushawahi kuona tunawaita wanaoabudu miti waje kuomba kabla ya shughuli? sasa uchifu wa nini?. Hawa machifu walishafutwa kisheria, tunapowarudisha tunapanda nini?"
"Nenda pale Kilimanjaro, utasema Mareale ndio chifu wao, hapana wako wengi. Kwa hiyo nao wafanye uchaguzi kisha waje kumpata chifu wao wa wote. Kweli tunaenda hivi katika maendeleo"
View attachment 2104792
Hakuna hata mtu mmoja nchi hii anayemfuatilia chifu au mtemi kudumisha mila na utamaduni wake.Huyu jamaa ni boya sana ana very low IQ.
Ni fact ya wazi kwamba ma-chief walikuwepo kabla ya Tanzania na bado wapo. Hatuwezi kukataa ukweli kwa uoga wa mambo tusiyoyajua. Iko bayana relevance yao sasa ipo kwenye kuifadhi na kudumisha mila na tamaduni zetu nzuri.
Kwa hiyo wewe unafata anayosema Polepole? Au Polepole hatakiwi kukosoakwa kuwa alifanya kazi na Magufuli? Kwanza umejaa ukabila na ujinga! Pia unadhani kumtoa Ndugai ndo kutafanya ukweli wa kukopa ovyo utoke? Unaficha kichwa ndani huku mwili uko nje? Mimi naamini suala la Ndugai bado lipo hivyo aliyesababisha kumtoa Ndugai naye ni binadamu tu! Pia polepole alikuwepo kabla ya kuwa Karibu mwenezi wa CCM au mbunge!
A big looser.., hakuwahi kukemea watu kuibiwa fedha zao za kigeni pale kariakoo licha ya document zote halali kuonyeshwaHumphrey Polepole amesema kuwa
"Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila, usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa taifa"
"Yapo maeneo uchifu ulishaondoka,haupo. Tulishakubaliana uchifu ni ukoo wenu, mna kiongozi wa ukoo mnazungumza mambo yenu binafsi ya kifamilia leo serikali ikizungumzia uchifu hawa nao wataomba kiongozi wao (wa ukoo) atambulike na apate nafasi huko serikalini"
"Mwalimu Nyerere alikataa jambo hili (uchifu), lina faida gani. Uchifu unataka kutuibulia zile hisia kwamba tuna ukabila kama hakuna wazee wataliona hili jambo, basi mawe yataona"
"Nchi yetu ina wakristo na waislamu, ikitokea mvua imechelewa kiongozi wa serikali huwa anawaomba wakristo kanisani wakaombe na waislamu msikitini wakaombe mvue zinyeshe, lakini huwezi kusikia kiongozi wa serikali akiwaomba washirikina eti wafanye namna mvua inyeshe"
"Kwenye shughuli za serikali ushawahi kuona tunawaita wanaoabudu miti waje kuomba kabla ya shughuli? sasa uchifu wa nini?. Hawa machifu walishafutwa kisheria, tunapowarudisha tunapanda nini?"
"Nenda pale Kilimanjaro, utasema Mareale ndio chifu wao, hapana wako wengi. Kwa hiyo nao wafanye uchaguzi kisha waje kumpata chifu wao wa wote. Kweli tunaenda hivi katika maendeleo"
View attachment 2104792
Leo ndiyo anasema huyu fala!Humphrey Polepole amesema kuwa

Hiyo miradi iliyoenda chato na haikufanyika kwingine ni ipi?
nitajie mawaziri 10 wasukuma kipindi cha magufuli! Hii myth haipo kipindi hiki kuhusu waislamu? ni kweli?
kuhusu mama Mushi labda uamue kumpaka matope Magufuli ila watanzania wengi wana utani kama huo kuhusu ndugu zetu wachaga ni kama ilivyo kwa wasukuma na ushamba(watanzania tuna mazoea ya kutaniana labda utuambie wewe ni wa wapi)
hapa naona unajaribu kuipiga rungu hoja ya polepole badala ya kuijibu, na najua hii hoja isingetolewa na pro magufuli ungeijibu inavyotakiwa.
Ndo mtu pekee anayejipambanua kwa kukemea na kuwaongelea wananchi! Na kama CHADEMA wataweka pembeni itikadi zao wamkaribishe huyu bwana Polepole agombee Urais! Maana hapo CHADEMA sijaona mtu anayejipambanua kama huyu bwana!
Polepole na washamba wenziwe walikuwa hawaoni madhambi ya Magufuli kwa vile walikuwa wakifaidika sana.Tatizo lako ni ufinyu wa ufahamu
Yaani unataka kufananisha Population ya Waislam kwa kulinganisha na Wasukuma bila ya kujua kuwa kuna Wasukuma ambao ni Waislam, hoja ni kuwa wakati wa Magufuli Wateule wengi sana walitokea Usukumani na mtazamo wa kikabila ulikiwepo sana
Unapokuja kujificha kwny kichaka cha udini hapo unatakiwa kujua kuwa hadi JPM anafariki kwny Cabinet yake kulikuwa na Waislam watatu i.e Ummy, Majaliwa na Awesu…hapa hatumshutumu kwa Udini ila tunasema hakuzingatia uwiano wa kiimani ila sasa waislam wamefika kama 30% gas na povuzinawachoma kifuan
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndo mtu pekee anayejipambanua kwa kukemea na kuwaongelea wananchi! Na kama CHADEMA wataweka pembeni itikadi zao wamkaribishe huyu bwana Polepole agombee Urais! Maana hapo CHADEMA sijaona mtu anayejipambanua kama huyu bwana!
Huyu jamaa yuko smart sana.
Ongezea Hawa walikuwa pia ni mawaziri wa jiweTatizo lako ni ufinyu wa ufahamu
Yaani unataka kufananisha Population ya Waislam kwa kulinganisha na Wasukuma bila ya kujua kuwa kuna Wasukuma ambao ni Waislam, hoja ni kuwa wakati wa Magufuli Wateule wengi sana walitokea Usukumani na mtazamo wa kikabila ulikiwepo sana
Unapokuja kujificha kwny kichaka cha udini hapo unatakiwa kujua kuwa hadi JPM anafariki kwny Cabinet yake kulikuwa na Waislam watatu i.e Ummy, Majaliwa na Awesu…hapa hatumshutumu kwa Udini ila tunasema hakuzingatia uwiano wa kiimani ila sasa waislam wamefika kama 30% gas na povuzinawachoma kifuan
Hoja ya Polepole ishajibiwa ila una haki ya kutoridhika na majibu ila huna haki ya kusema haijajibiwa…Shughuli za kichifu na Machifu sio tu walikuwepo bali wengine walikuwa hadi wakuu wa Mihimili bila ya kuvua vyeo vyao vya Uchifu mf. Chief Adam Sapi, Chief Fundikira alikuwa Waziri na alishiriki shughuli za kwao Unyamwezini
Unajaribu kuhamisha Magoli eti namkosoa Polepole kwa kuwa ni Mfuasi wa Magufuli bila ya kujua hata Mimi ni mfuasi wa JPM kwa mazuri mengi aliyofanya lakin hicho si kibali cha kutokumkosoa alipoteleza kama binadam
Yaani huyo jamaa mpuuzi sana! Makamu muislam, waziri mkuu muislam!Ongezea Hawa walikuwa pia ni mawaziri wa jiwe
- Selemani Jafo
- Hamza Hamis
- Mwanaidi Ali
- Kipanga Omary
- Hussein Bashe
- Ummy Ndelinangaa
- Abdallah Ulega
Yaani huyo jamaa mpuuzi sana! Makamu muislam, waziri mkuu muislam!
Polepole ana hoja nzuri, ila mnakosea mnapomtetea Magufuli, si ndio alikuwa akipiga kampeni kwa kilugha chao? Si ndio alikuwa akifanya ziara na mawaziri akifika jimboni kwa waziri anamuambia aongee kilugha na wananchi?Hiyo miradi iliyoenda chato na haikufanyika kwingine ni ipi?