Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

Kama taifa tumepiga hatua sana kwenye haki na usawa wa kijinsia. Ni muhimu kila taasisi nchini ikahakikisha haturudi nyuma kwenye hilo.
Haki za wanawake na kuwajengea wanawake uwezo ni ufunguo wa maendeleo shirikishi.
 
hivi anafikiri yeye ni serikari kuwa anatoa rai kwa vyama vya siasa hivye yeye ndio kiranja wao wa vyama vyote
 
Hivi yule Sofia Simba aliyekuwa akiongoza wanawake wa ccm aliishia wapi? Mbona hawakumpa hiyo nafasi?
 
Tuna bahati mbaya sana tupo kwenye taifa la uwongo uwongo uwongo yana tunaelekea kwenye giza 🙆
Yani tupo pabaya sana taifa au tasisi huongozwa na katiba Taifa letu linaongozwa na uwongo uwongo
 
Back
Top Bottom