Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Unaweza usiamni lakini ukweli ndio huo. Dunia inakimbia mbio ajabu! wakati "namba moja" akisema wapinzania walichelewesha sana maendeleo na Mangula akisema lazima waufute 2020 (REJEA habari hii: Mangula: CCM itafuta upinzani uchaguzi mkuu 2020)
leo naona wa CCM wanawalilia kwa machozi wabunge 19 wa CHADEMA, hawataki kuona wanafukuzwa uanachama, wanawatetea, jamani kulikoni? Yaani mnaulilia upinzani mapema hivi? si mngesubiri hata mwaka mmoja tu?
Maendeleo hayana vyama