Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

Mbona hawakuheshimu wanawake hapa,CCM wakawa na kura zao tayari kwenye mabegi eti wanapiga kura warudi mikoani?
IMG-20201128-WA0000.jpg
 
Hehehe... wachukueni kwani tatizo liko wapi?

Halafu hizo nafasi hawajapewa, wamejipa wenyewe
 
Slowlyslowly wadudu tiyari wameshaanza kumpanda kichwani[emoji3]
 
Anaongea
Anaongea utadhani amekatika kichwa majimbo waliogombea wanawake waupinzani kulijaa kura bandia lakini sikumsikia akipiga kelele wasaidiwe alikuwa anachekelea sasa leowamebadilika nini ukiona mpinzani wako anakutakia jambo fulani ulifanye tambua anatafuta nafuu kupitia wewe utumike kama daraja au ngazi yakupandia akitoka huko aje akusimange kuwa makini
 
Hahaha eti wanahabari wakati tunaona mic moja tu.

Halafu nilidhani hayo makaratasi ni sehemu ya hotuba kumbe takataka tu, kayageuzageuza kayatupa.

Eti msemaji wa chama, nchi hii hatuko serious kabisa.
 
Chakubanga Polepole shika adabu yako , Kama membe alifukuzwa uanachama na hakurudishwa na mahakama , viilevile na itende haki kwa Halima Mdee a.k.a. Delila wa Tanzania na genge maamuzi ya chama yaheshimiwe ndugu Mhutu .
 
Kama taifa tumepiga hatua sana kwenye haki na usawa wa kijinsia. Ni muhimu kila taasisi nchini ikahakikisha haturudi nyuma kwenye hilo.
Haki za wanawake na kuwajengea wanawake uwezo ni ufunguo wa maendeleo shirikishi.
Ingekuwa hivyo toka azimio la Beijing, leo hii si mgekuwa mmeshalimaliza hilo?!! Acheni kujitoa akili!! Kwa hili la bawacha inshu sio wanawake bali ni utaratibu ulifuatwa? Naona kama mnaanza kubadirisha mada!!!
 
Kitu cha muhimu wao wawashauri kwenda Mahakamani, na waiamrishe Mahakama kuwalinda kina Mdee.

Waache kutupigia kelele.
 
Back
Top Bottom