Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Huyu mpumbavu ajifunze kufunga bakula lake la kuchambia
Mkuu kwa hili umechemsha. Nenda kapitie upya vyanzo vyako vya habari. Ukiifanya Jf ndo chanzo chako kikuu cha habari, matokeo yake unaweza kuleta habari km hii.Mbona MEMBE hamkumpa nafasi ya kusikilizwa,Tena alifukuzwa na mtu mmoja tu ,na siyo kamati.
Wana CCM wanajali maslahi mapana ya taifaUnaweza usiamni lakini ukweli ndio huo. Dunia inakimbia mbio ajabu! wakati "namba moja" akisema wapinzania walichelewesha sana maendeleo na Mangula akisema lazima waufute 2020 (REJEA habari hii: Mangula: CCM itafuta upinzani uchaguzi mkuu 2020)
leo naona wa CCM wanawalilia kwa machozi wabunge 19 wa CHADEMA, hawataki kuona wanafukuzwa uanachama, wanawatetea, jamani kulikoni? Yaani mnaulilia upinzani mapema hivi? si mngesubiri hata mwaka mmoja tu?
Maendeleo hayana vyama
Haka kalishazidiwa unyafuzi hadi kwenye ubongo. Huo ni utapiamlo wa mtu mzima.kaone kalivyokaukiana!