Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Mimi namuona kama shujaa kijana mzalendo na mfano wakuigwa na kujivunia kuwa na mtu kama huyu. Pia kuna kijana mmoja anaitwa Sabatho kwa wale waliopitia pale YUNA mtakuwa mnamfahamu.
 
Hujaeleweka. Unamaanisha watu watoe maoni yao kuhusu Polepole au Polepole ndo atoe maoni yake kuhusu mtu fulani?
 
Hujaeleweka. Unamaanisha watu watoe maoni yao kuhusu Polepole au Polepole ndo atoe maoni yake kuhusu mtu fulani?
swali lako ndilo swali swali langu!!.Mimi nimejua nitakutana na picha ya mtu ambaye Pole pole anatakiwa kutoa maoni juu yake,kumbe chenga tu.MCC imewavuruga watu vibayaaaa
 
Uvccm wanatetea makosa ya chama Chao ccm wameikandamiza demokrasia kwa masilahi yao Na siyo ya wananchi kwa swala la Zanzibar akuna asiye jua ukweli
 
Subiri ma-dc wateuliwe alafu apigwe chini ndo tuone atakavyopotea. Labda aupate. Akiukosa ndo kwisha yake
 
swali lako ndilo swali swali langu!!.Mimi nimejua nitakutana na picha ya mtu ambaye Pole pole anatakiwa kutoa maoni juu yake,kumbe chenga tu.MCC imewavuruga watu vibayaaaa
Kabisa kiongozi. Unajua swala la mtu kukurupuka na kuweka bandiko lisilokuwa na maana humu ni sawa na uharibifu wa mazingira
 
ni mtu nayejifanya yupo upande wa raia kumbe yupo upande wa watawala
 
mchezaji pool ya kisiasa - tena michezo ya kuanzia saa mbili asubuhi.
 
mchumia tumbo kama wengine tu labda kawazidi kuongea sana kwenye mike!!😀(;-)
 
Nini Maoni Yako Kuhusu Huyu Mchambuzi!

mkuu ungefafanua vyema hapo maana humu JF kuna memba anatumia ID ya Mchambuzi! Sasa sijui unataka tutoe maoni kuhusiana na Humphrey pole pole ama Mchambuzi?

Lakini kama maoni ni kuhusiana na Humphrey Pole Pole basi yeye ni mbinafsi na mnafiki mkubwa tuliyewahi kuwa naye Tanzania. Nadiriki kusema ya kwamba kwa level ya Unafiki wake basi ni kwamba yeye yuko sawa na Shetani yaani nakusudia Ibilisi. Kwa nini ninasema hivyo? 1. Wakati tunatetea katiba ya wananchi basi alikuwa mstari wa mbele lakini alipoahidiwa kupewa uDC huyo kaponyoka. 2. Katika hili suala la MCC , ni kwamba yeye kwa kutumia fedha hizo hizo za MCC alikwenda hadi marekani kujifunza Demokrasia za huko. leo ameshindwa kukisadia chama chake cha CCM kutekeleza demokrasia na badala yake yeye anafurahia kukandamizwa kwa Demokrasia Tanzania! huyu ndie Pole Pole.
 
Hii shida hii ,lete hoja zake tuzijadili sio kumleta Polepole tumjadili kwani yeye nani?
 
Back
Top Bottom