Kwanza awali ya yote namshukuru Mungu kwa kutupa uzima. Nilikuwamachimbo nikijenga uchumi wa viwanda nakupata habari...
Muongeze tusi lingine me ntakusaidia kufanya toba.Peleka huko upumbavu wako
kikokotoo kipya.wadau aman iwe kwenu
Leo nimeona niwatafakarishe kidogo kwa yanayoendelea nchini. kwa hakika tunapita wakati mgumu sana lakini ukweli no kwamba jiwe ataongeza muda was urais kutoka tank mpaka saba. labda aamue tu lakini hatuna uwezo wa kukataa. swali kubwa Leo ni kwamba tulikataa nini tukafanikiwa? basi tukijua hilo ni mda tu. maandalizi ya kufikia hilo ni mabadiliko sheria na yanaendelea mpaka sasa kuna sheria nyingi zimebalishwa hatua imepigwa kubwkubwa sana watanzania hatufika hatua ya kusema no kwa MTU anayechezea katiba yetu.
kwa kweli aliyosema nyerere yametimia kuhusu rais tunayemtaka ajue kuheshimu katibakikokotoo kipya.
nilitaka kuwatafakarisha kuwa hakuna tulichokataa tukashindaAh ww umejua leo?
Simwamini katu!mzaha si mzaha..hehehe
Mimi nipo hapa Kampala hivyo hii habari ni kama marudio kwani hata sisi waganda tuliwahi kuambiwa hayo.Sio polepole akawaambie ,yeye awaambie wabunge direct kwamba hataki mapambio yao ya atake asitake! Polepole ndio wale wale.
Hata Kagame alisema hivyo hivyo.